Natamani kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Leo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha
 
Kwa Marekani na Developed countries unafanyiwa compensation ila huku bongo utaonekana kama dishi limeyumba tu
 
Sahauuu hiyo!hesabu maumivu
Kwanza ukiwafata Tanesco watakuambia mfumo wa wiring wa nyumba fundi aliyoufanya ni mbovu?

Ova
 
Leo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha
Steboliza huna brother
 
Hukuchukua tahadhari hutumii staboliza
 
unatakiwa uripoti Tanesco ndani ya masaa 24 kwa maandishi baada ya hapo unasikilizia majibu kama watakataa unachukua hatua za kisheria
 
Leo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha
Nadhani kuna sehemu kwenye sheria za mashirika ya umma yalivyojikinga na liability za namna hiyo. Anyway seek a legal advice
 
Back
Top Bottom