Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Nimesikia mara kwa mara kwamba Mahakama Kuu hutoa Hukumu kulingana na Sheria (wana bold spirit) lakini Mahakama ya Rufani imekaa kisiasa zaidi (wana timid spirit na hawataki kabisa kufungua Pandora's Box) ili kulinda maslahi ya Serikali. Ndio kusema kwamba hiyo ni sehemu ya kupumulia ya Serikali!
1. Katika kesi ya REPUBLIC v MBUSHUU alias DOMINIC MNYAROJE AND KALAI SANGULA [1994] TLR 146 (HC) Mahakama Kuu ilitamka kama ifuatavyo kuhusu uhalali wa ADHABU YA KIFO:
"Death penalty offends the right to the dignity of a person in the way the sentence is executed and therefore it offends article 13(6)(d) of the Constitution of the United Republic of Tanzania."
Lakini Mahakama ya Rufani ilipinga uamuzi huo katika kesi ya MBUSHUU alias DOMINIC MNYAROJE AND ANOTHER v REPUBLIC [1995] TLR 97 (CA) kwa kusema yafuatayo:
"Though the death penalty as provided by s 197 of the Penal Code, Cap 16, offends art 13(6)(d) and (e) of the Constitution, it is not arbitrary, hence a lawful law and it is reasonably necessary and it is thus saved by art 30(2) of the Constitution; the death penalty is, therefore, not unconstitutional."
ANGALIZO: OFFENDS ARTICLE 13(6)(d) and (e) = NOT UNCONSTITUTIONAL!
2. Tumeshuhudia jana kuhusu Mgombea Binafsi Mahakama Kuu ikitoa haki ya kugombea binafsi bila kupitia Chama lakini Mhakama ya Rufani imedai eti kwamba suala hilo SI LA KISHERIA bali NI LA KISIASA!
Jamani haya mambo ni kweli au ni just coincidences na ni isolated events! Tujadili!