Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,774
- 4,269
Majigambo ya ni kama hauna hela mfukoni mheshimiwa wakili??!
Bora mwanangu akasome ufundi mchundo VETA kuliko nimpeleke akasome kozi ya sheria. Vijana wetu pale law school na kwenye vyuo vingine aisee hii kozi ndo inawachanganya wanajiona kama wameshinda bet maskini ya Mungu.
Na mbaya zaidi wanasheria ni kati ya kada yenye wanafiq wakubwa wanaojua kugeza maisha na wanauficha ukali wa maisha unaowakabili. Pamoja na kwamba tunawaona wanahangaika sana ajira hamna wamejishkiza kwenye vi-law firm uchwara, wanavaa visuti vya kuungaunga lkn hapohapo kwa mienendo na mikogo yao wanauhakikishia umma siku zote kwamba maisha kwa wanasheria ni smooth kabisa.
Huu ni usanii hatari una mislead watoto wetu wanakimbilia sheria. Jirekebisheni, lieni na wanaolia kwakua nyie pia ni sehemu ya jamii inayoteseka.