Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum...
Ugali ni Tanzania
Sima ni Zambia
Shima ni Zimbabwe
Fufu ni nchi za afrika magharibi
Bugali ni kwa wakongoman
Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo
Dona ambayo...
Nikiwa mmoja wa wakereketwa wa Ugali Ugali Fanatic Niko mstari wa mbele kuutetea na kuulinda Ugali chakula pekee Bora Kwa afya na maisha ya binadamu.
Hivi Karibuni humu jamvini kumetokea na wimbi...
Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika...
Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi...
I hope mnaendelea vizuri leo nimewaletea prwans wengine tunaita dagaa kamba wa nazi watu wa pwani nafikiri mtakuwa mnaelewa utamu wa kamba
Mahitaji
Prawns 🦐 wabichi
Nyanya moja ndogo...
Wakuu niaje? Natumai wote hamjambo.
Hivi karibuni nimeanza kutayarisha maziwa mtindi kwa ajili ya biashara.
Sasa kuna wakati maziwa haya yanawahi kuwa machachu. Je kuna preservative naweza...
#ICE_CREAM #JUICE #Kwa_mtaji_mdogo_tu.
Anza leo biashara ya #Ice_Cream_&_Juice,kwa mtaji mdogo.Hadi elfu 20 tu,inatosha sana kuanza nayo kama mtaji.
#Nakupa ofa ya Kitabu kitakacho kupa mafunzo...
National Occupational Safety and Health Certificate (NOSHC) Module 1 and 2 ni kozi za muda mfupi zinatolewa na OSHA kwa muda wa wiki 2 ada yake ni tsh 700,000/=. naomba ushauri naweza kupata wap...
Nimechoka kila siku asubuhi kula mkate na chai, nikisema ninunue vitafunio kama chapati sijui maandazi nayo nimeshayakinai....
Majuzi nilipata breakfast ya chai ya maziwa na vitumbua vikubwa vya...
Jana nilichelewa sana kurudi maskani na njaa ikawa inaniuma balaa.
Harakaharaka nikaamua kujisongea ugali kwenye jiko la gesi nikiamini nitapata mboga za chapchap yaani dagaa mchele na maziwa...
Hellow
Sikuiz nipo bise that why sileti thread
Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu
Baada...
Hellow mchana mwema
Leo tupike hiki chakula asili yake Madam B atasema
Kwanza chukua tambi zako ulizo kataka ndogo ndogo kisha weka kwenye sufuria ya mafuta yalio chemka kisha anza kuzikaanga...
Habari
Leo nilikuwa na hamu ya ugali na mlenda basi nikaanza kukata majani ya maboga na bamia kisha nikaweka maji kidogo na magadi pamoja na chumvi kisha nikaweka jikoni na kuchanganya majani ya...
Katika ulimwengu wa vyakula na mapishi kuna aina mbalimbali ya vyakula ambavyo upande mmoja wa dunia vinaweza kuwepo na upande mwingine kukosekana.
Ukiachana na hilo pia kuna jambo moja inabidi...
Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali
Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha
wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu...
Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika...
Hello
Leo nilikuwa na hamu ya izi mboga maini siyapendi sana ila leo nilikuwa na hamu nayo
Nikachukua maini nikayachemsha baada ya kuya katakata na kutoa lile gamba la maini baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.