Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Hello 👋,. Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,.. Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari Kwenye kikombe chako...
12 Reactions
129 Replies
3K Views
Basi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sio
6 Reactions
46 Replies
12K Views
I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari...
29 Reactions
88 Replies
5K Views
Sitawafunza kila kitu lakni hizi tambi zinapendwa na kila MTU wew mama wa nyumbani ukipika tambi za dengu ukapakia kwenye vifungashio utapata faida kwa hiyo pesa ya mahitaj madogo madogo inaweza...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
The Way to a Man's Heart is Through His Stomach! Hii ni methali ya kizungu haipo kwenye methali za wahenga wetu wa kiswahili ila ina make sense hata huku kwetu uswazi. Ni aibu wanawake wengi...
33 Reactions
148 Replies
21K Views
Leo nimeamka asubuhi nikaona nitoe kitu geto kama Mwachiluwi Nilienda dukani kununua mahitaji na mengine yalikuwepo ndani Nikachemsha nyama wakati inaiva nikaandaa viungo kama vinavyoonekana...
44 Reactions
104 Replies
4K Views
Nataka kupika pilau ila sijawahi kupika. Wabobezi wa mapishi hayo nahitaji ushauri wenu nifanyaje ili nipike pilau zuri. Ni mara ya kwanza nataka nipike chakula hicho pendwa, nahofia nisijepika...
3 Reactions
16 Replies
931 Views
Salaam wana Jf. Bila kupoteza wakati naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja. Kuna mahali nimepata wazo la kufungua biashara ya kuchoma ndizi na mishkaki, lengo langu ni kutengeneza bidhaa zenye...
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Nilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua MAHITAJI; Carry...
41 Reactions
168 Replies
5K Views
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Andaa ngano mafuta na chumvi changanya kisha kanda kwa mda mrefu kiasi kwamba ngano ina legea yenyewe kisha tengeneza madonge yako kulingana na idadi yako unayo taka kisha anza kusukuma then...
14 Reactions
135 Replies
4K Views
Hell Leo tutengeneze ubuyu mzuri wa zanzibar ukiwa nyumbani kwako Hatua ya kwanza utaanda shila ambayo ina husisha maji na sukari maji yawe kidogo sukari iwe nyingi Kisha shila ikishakuwa...
15 Reactions
146 Replies
3K Views
Mwakata! Ughonile! Twambombo Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na...
21 Reactions
237 Replies
6K Views
Hell Hii leo sikuchukua picha hatua zote kwasababu ya umeme kukatika siku nzima ila haikuwa sababu ya mimi kuzuiwa kuja kuwafundisha na hiki pia Hivi vitu una weza fanya nyumbani kwako ukiwa...
15 Reactions
107 Replies
2K Views
Hello Leo nilipata mwaliko kwa mshikaji wangu kufika pale njaa zikatushika nikamwambia chakula chepesi na cha haraka hapa ni ndizi so tupike ndizi yeye alitaka tupike pilau mimi nimefuliliza...
15 Reactions
85 Replies
4K Views
Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko...
27 Reactions
132 Replies
5K Views
12 Reactions
214 Replies
4K Views
Hello Najua mesoma sana thread za siasa now mnatakiwa kutuliza akili ikae sawa kidogo Tuanze mtindo uhu ni raisi na hauli mda wako kabisa Kwanza menya ndizi zako kisha kata style unayopenda...
15 Reactions
48 Replies
2K Views
Faida za kiafya za magimbi (Arrow root): Magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Karibu wakuu wangu! Wakurya, waarusha, wamasai, wagogo na experts wengine wa 🥩🥩🥩
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Back
Top Bottom