Chachandu ya nazi

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,163
mahitaji
1. Nazi
2. Punje kadhaa za vitunguu swaumu kadri upendavyo
3. Karoti
4. Corriender leaves
5. Pilipili
6. Ndimu /limao
7. Maji kiasi
kuna nazi, grate karoti, menya swaumu , katataka vipande bya korienda, pilipili

tia vyote kwenye blenda, kamulia limao au ndimu za kutosha.....

Maji kwa mbaaaaali

blendi hadi ilainike kabisa.......

Pakua, unaweza kuila kwa kachori, kababu, nyama za kukaanga,katles, mishkaki, bagia za kunde na za dengu hata chips au wali ukipenda
 
hahahajajaa @ the promise na ruby hii huliwa mbichi na hutoharisha kamwe, ingekua kuna kuharisha basi hata madafu tusingekula maana ni zao la nazi.....
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kwa ajili ya watui wa Pwani ndugu yangu sie wa huku Katavi tutayaweza kweli
 
Nimeipenda hii, napenda sana mapish ya ubunifu, 2patie lingine kama unalo.
 
Back
Top Bottom