Saturday Morning Breakfast

contagious

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
528
344
1472890375649.jpg
1472890513244.jpg
1472890519607.jpg
1472890527246.jpg
Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko kimoja cha iliki, robo kikombe cha sukari, pakti 4 za nazi, nimeongeza maji kidogo sana! Nikachanganya vyote kwenye kabeseni kakukandia, nikakanda kama dak 15, unga ulipokuwa laini. Nikayaacha nje kwa saa nzima, nikakanda tena unga kwa dak kama 3 hivi nikasukuma na kukata na kuanika tena juani, yalipopanda tena nikachoma kwenye mafuta, as you can see them.
 
View attachment 392731View attachment 392732View attachment 392733View attachment 392734 Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko kimoja cha iliki, robo kikombe cha sukari, pakti 4 za nazi, nimeongeza maji kidogo sana! Nikachanganya vyote kwenye kabeseni kakukandia, nikakanda kama dak 15, unga ulipokuwa laini. Nikayaacha nje kwa saa nzima, nikakanda tena unga kwa dak kama 3 hivi nikasukuma na kukata na kuanika tena juani, yalipopanda tena nikachoma kwenye mafuta, as you can see them.

Asante kwa somo hili.....nitalifanyia kazi....
Ila mimi sitaki wageni.....
 
View attachment 392731View attachment 392732View attachment 392733View attachment 392734 Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko kimoja cha iliki, robo kikombe cha sukari, pakti 4 za nazi, nimeongeza maji kidogo sana! Nikachanganya vyote kwenye kabeseni kakukandia, nikakanda kama dak 15, unga ulipokuwa laini. Nikayaacha nje kwa saa nzima, nikakanda tena unga kwa dak kama 3 hivi nikasukuma na kukata na kuanika tena juani, yalipopanda tena nikachoma kwenye mafuta, as you can see them.

Ohhhh my God!!.....enzi hizi kila mtu chakula kitamuua irrespective of our knowledge!!....Mbona hujataja kiasi cha mafuta ulichotumia!! ......na pia umejisifu kwa kuweka kiasi kidogo sana cha maji!.......Mimi sishauri watu wapende kula vyakula vya kukaanga kwa mafuta bali wapende kula vyakula vya mchemsho kama vile viazi vya kushemsha,majimbi,e.t.c!....Siku hizi magonjwa ya kansa,moyo,presha,kisukari ni mengi sana kwa sababu ya kula vyakula bila kuangalia afya kwanza,priority yetu siku hizi imekuwa ni utamu kwanza!........nakuwa disappointed sana watu kusifia vyakula kama hivi,certainly we will not survive!
 
Babu yako alikula vitumbua na aliishi miaka mia, let me be, let me live my life and eat what I want when I want.
 
You are and you will be what you eat!! .....babu yako ni kweli alikula vitumbua kwa wingi na akaishi miaka mia ila kipindi hicho hapakuwepo na bodaboda kwa hiyo alikuwa anatembea kwa miguu deile(mazoezi) kwa hiyo alikuwa anayeyusha mafuta kirahisi ila wewe hutembei sehemu ya hatua mia bila bodaboda!! .....Babu yako alikula vitimbua kwa wingi ila alikuwa analima mboga za majani,wewe mboga za majani unaona ni chungu kama dawa sumu za mafuta zitatokaje mwilini??? .......babu yako alikula vitumbua kwa wingi ila alikuwa anatafunia na maziwa wewe baada ya kula vitumbua unaenda kunywa bia na unaona mtindi ni ushamba!! ........babu yako alikula vitumbua kwa wingi ila alikuwa anakula asali kwa wingi,wewe mara ya mwisho kuiona asali ni lini??? ......do you see??...do you discovered something??....do you learn something??.....Do you????
 
Back
Top Bottom