Msaada jinsi ya kutengeneza Kuku sekela. Ni viungo gani wanatumia?

mimi.mimi

Senior Member
Jul 11, 2013
134
71
Habarini wanaJF,
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza kuku sekela. Viungo gani vinatumika?
 
Kuku wako ukisha kumkatakata na kumsafisha weka viungo kama kawaida. Yaani thomu, tangawizi, chumvi na pilipili washa kiasi.
Mwache akolee viungo vizuri kiasi masaa mawili.
Ukikaribia kumchoma, muweke tanduri masala kijiko kimoja kikubwa-hii kwa kuku mmoja. Kamulia ndimu 2 za kiasi.
Weka foil juu ya tray ya oven then wapange kuku wako juu yake tayari kwa kuchoma kwenye oven.
Kama unatumia mkaa, wapange juu ya chanja na uchome kama kawaida.
kama hujui namna ya kuchoma, sema nikuelekeze namna zot 2, kwa oven au kwa mkaa.
jee waijua tandoori masala?
 
Elekeza mama, na hiyo masala pia
 
Elekeza mama, na hiyo masala pia
1471722127990.jpg
1471722138840.jpg
hio hapo.
Na nyuma ya box kuna maelekezo.
Ila zipo brandy tofauti tofauti.
 
Ninavyopenda sekela sasa...
Hadi nimepamiss magomeni shibam...
Sio kwa sekela wale
Hata me napenda sana sekela.
Huwa nawapika nyumbani siku moja moja.
Wa kununua tunapunwa mwenzangu.
Pesa ya kununulia kuku mzima sie tunauziwa nusu kuku. Mie huona uchungu.
Shoga ukipata muda siku moja moja na we jichomee nyumbani. Mbona hana kazi.
 
Natamani kulia nilivyorudi kwenye hii thread ya sekela.
Nimewamiss mpaka mate yananitoka.

Kama vya kuandaa home nikitaka nile kwa furaha basi niandaliwe.
Au nikiandaa mimi nisile muda huohuo...
Nina taabu
 
Back
Top Bottom