Jinsi gani nitaweza kuhifadhi njegere muda mrefu bila kutumia friji?


kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,120
Likes
459
Points
180
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,120 459 180
wakuu heri ua mwaka mpya naombeni msaada mwenye utaalamu wa kuhifadhi njegere muda mrefu kama mwezi au wiki mbili bila kutumia fridge anipe maujanja maana fridge uchumi haurusu kwa sasa nimechoka kuharibikiwa njegere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,683
Likes
9,177
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,683 9,177 280
Labda wiki mbili, uwe unanunua zilizo na maganda ukitaka kupika ndio unazimenya zikibaki kwenye maganda zinasogea sogea,
Pia uweke sehemu ya wazi uzitandaze usiziweke kwenye mfuko.
 
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Messages
1,120
Likes
459
Points
180
kinywanyuku

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2015
1,120 459 180
Labda wiki mbili, uwe unanunua zilizo na maganda ukitaka kupika ndio unazimenya zikibaki kwenye maganda zinasogea sogea,
Pia uweke sehemu ya wazi uzitandaze usiziweke kwenye mfuko.
nashukuru hivi hamna chombo cha kuhifadhi zisiharibike mbali kwa wale tusiokuwa na mafriji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G

gomer

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
171
Likes
29
Points
45
G

gomer

Senior Member
Joined Nov 9, 2010
171 29 45
...
mbona zipo njegere kavu, au ni suala la mapishi na vitamini?
...
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,683
Likes
9,177
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,683 9,177 280
MNANSO

MNANSO

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Messages
1,716
Likes
675
Points
280
MNANSO

MNANSO

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2015
1,716 675 280
samahani hivi njegere kavu zinafanana na hizi za kijani je zinafaa kupikia wali yaani uchanganye uwe wali wa njegere

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo ila zichelewa kuiva kama maharage, ni tamu zaidi ya njegere mbichi ila balaa lake ni ugumu wa kuiva.
 

Forum statistics

Threads 1,250,892
Members 481,523
Posts 29,749,792