Chai Masala/Tea Spice Powder


MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
78
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 78 145
Mahitaji ya kutengeneza Chai Masala

100gram hiliki/cardamoms
50gram mdalasini/ cinnamon
2 tsp pilpili manga/whole black pepper (
1 tsp mnanaa/ dried mint (optional)
1tsp karafuu/whole cloves
2 tsp tangawizi iliyosagwa/ginger powder
1 tsp kungumanga/nutmet.

Visage vyote kwenye pamoja kwenye mashine, ukimaliza ziweke kwenye frying pan weka moto mdogo sana huku unazigeuza geuza for muda wa dakika 5 mpaka ile inaanza kutoa harufu nzuri. Tia kwenye container na ifunge tayari kwa kutumia.

Note: TSP ni table spooon.
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
13,804
Likes
4,538
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
13,804 4,538 280
Kuna tayar imetengenezwa tea masala box yake imeandikwa zanzibar taste ni nzuri sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
5,665
Likes
31
Points
145
Mkirua

Mkirua

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
5,665 31 145
Du.. MadameX huu uzi wa 2012 haukuonekana au vipi? by the way umepotea sana.
 
Last edited by a moderator:
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
13,804
Likes
4,538
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
13,804 4,538 280
Du.. MadameX huu uzi wa 2012 haukuonekana au vipi? by the way umepotea sana.
Kuna uzi nzuri sana hapa kwa wale wanaopenda kupika zitawafaa ndio nimejaribu kuzicomment ili zionekane tupate kunufaika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
101,969
Likes
120,016
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
101,969 120,016 280
Du.. MadameX huu uzi wa 2012 haukuonekana au vipi? by the way umepotea sana.
... a come back..! karibu madameX...!
 
Last edited by a moderator:
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
4,468
Likes
1,522
Points
280
Angel Nylon

Angel Nylon

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2011
4,468 1,522 280
Safi sn farkhina kwa kufufua uzi. Nimejifunza kitu apa
 
Last edited by a moderator:
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
78
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 78 145
Du.. MadameX huu uzi wa 2012 haukuonekana au vipi? by the way umepotea sana.
duuh huu ni muda mrefu tu, ulikuwaga hupiti huku. Jamani niko busy na majukumu...cya
 
CCNP Engineer

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
470
Likes
1,179
Points
180
CCNP Engineer

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
470 1,179 180
Good
 

Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883