Naomba nisaidieni kutengeneza cake za watu wa kisukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba nisaidieni kutengeneza cake za watu wa kisukari

Discussion in 'JF Chef' started by Mbwambo, Oct 3, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mapishi ya cake kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari inaandaliwje bila ngano nyeupe na sukari?
  Nisaidieni mwenzenu napenda bites na cake sana lakini nashindwa kutengeneza maana nina sukari ya juu sana inanishika mara kwa mara
  asanteni wadau au mr. Jamii chef
   
Loading...