Msaada: Namna ya kupika Popcorn tamu

bhunonukid

Member
Jul 3, 2016
11
18
Habari wana JF
naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza popcorn tam(sukari)..nko na mashine ya kutengenezea ila naishia tu kupika za chumvi sa napenda kuwabadilishia wateja wang flavour il nisiwapoteze...
Mwenye ujuzi naomba anisaidie plz, natanguliza shukran kwa wote mtaochangia iwe kwa ushaur au kunielekeza.
 
Niliona pale mlimani city wao wanaweka sukar kwenye machine ya popcorn baada ya kuweka mahindi, ila kwa pia wanakosea.... Kww ninavyojua mimi kuna kitu inaitwa caramel sijui inapatikaba wapi hiyo ndo inatumiwa na wenzetu wa nje kufanya sweet popcorn
 
thanks kwa kunijuza ivoo
 
hata mie nnayo mashine ya pop corn ila nmekuja na mtindo wa kuchanganya na chocolate ndani yke kwa kuzikata small particle
 
Kinyumbani nyumbani zaidi..ukishapika popcorn zinyunyizie pilipili ya unga na limao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom