Kachai katamu

Kachai katamu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,870
Reaction score
834,132
Matayatisho

Iliki ,tangawizi ya kusaga ,majani ya chai , maziwa na maji na sukati

Jinsi ya kuitengeneza

Ni rahisi sana ufundi ni kidogo
Chemsha maji yachemke kabisa kama robo lita hivi ongeza vikombe viliwi vya maziwa kisha iliki 5 au 6 ,ongeza tangawizi kijiko kidogo majani kiasi na sukari.

Chemsha kwa dakika 5 tena ipua chuja weka kwenye thermos.

Tafuta mahali penye upepo tulivu Enjoy kachai kako katamu
 
Umeshawahi kujaribu chai ya kukaanga sukari?

Tamu sana, haswa ukiweka na tangawizi mbichi kidogo.
 
Kama haka ?
 

Attachments

  • 1396445226230.jpg
    1396445226230.jpg
    60.5 KB · Views: 422

Similar Discussions

Back
Top Bottom