Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule. Nduli idi Amini wa uganda. hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
NASHTAKI KWA IMAMU. 1)Kwa mnayonifanyia,roho yangu inauma Imamu nitamwambia,aje wakanya mapema Wapo nilowasikia,jinsi wanavyonisema Ramadhani Ramadhani,ndo mwezi wangu wa swala. 2)Imamu...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
1)Ndugu zangu nawaasa,haswa haswa wasanii Natumia hu wasa,kusema nanyi jamii Mfanyao mambo sasa,kutania kwa bidii Kutania Ramadhani,tabia yota mizizi. 2)Video mwazitengeza,mkivifanya vituko...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mdau wa lugha ya Kiingereza. Paragraph hii ya chini nimeandika mwenyewe kwa misamiati ambayo sio ya kubuni, ipo kwenye Dictionary kabisa na wala sio misamiati ya kifamasia, ni...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
SHAIRI: SUMU YA UKALE VICHWANI MWETU MTUNZI: MULIKUZA PASCHAL Mkataa kwao kweli mtumwa, Na mcheza kwao daima hutunzwa, Daima tupende asili yetu kama paka na maziwa, Tukivikimbia vyetu mwishowe...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Samahanini wadau kwa yoyote ambae amesoma English course pale British council. Wenye idea ya hapo nataka kusoma English course, kuongea. Kuandia kiingereza naweza kukuandikia kitabu kizima...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
R. I. P. Lugha ya Kiswahili. Reo Hasubui nirikuwa napitapita kwenye mitandao ya kijamihi nikahona mahajabu ya jinsi vijana wa siku izi wanavyo handika mitandaoni. Kiloho safi awana ata wasiwasi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakenya wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imebanduliwa mashindanoni " Watanzania wanasema " Timu ya Tanzania ya Yanga SC imefungwa katika mashindano " Nani ameongea Kiswahili ' fasaha '...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saivi ukiwa mjini utasikia tu vijana na mabinti wanasema : " Mimi siyo wa nchi hii wewe...". " Hii siyo ya nchi hii …" Au " Yule si wa nchi hii". Ni tumsemo tunatokuja kwa kasi sana kama ule...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF, Wengi wamezaliwa mjini, anachojua tu ni kwamba yeye ni wa Kabila fulani, ila ukimuongelesha kwa Lugha hiyo ya kwao anakuwa hajui chochote zaidi ya basic terms na salamu tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam, Hamjambo maashiki wa lugha aali, tukufu, adhimu, na johari ya kiswahili. Ama baada ya salamu naomba mnisaidie kutongoa jambo lililonitatiza kama kichwa cha uzi kisemavyo. Unapomuuliza...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhari naomba kusaidiwa maana ya ili Neno Goroka na Asili yake n Wapi?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
"MISEMO UJITANI" 1. Jisiku kabhajo anu jabhajire na imbwa inu itakulima. 2. Liwa linu elitama imembe imbwa itakulitula 3. Omuyari erabhire okufwa, omubha akafwa kegoro. 4. Kasoga okwoga aliuti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or...
5 Reactions
112 Replies
13K Views
Habari zenu wajumbe? Ndugu wajumbe, Karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengine wakitegua kuanzisha na wengine kumalizia methali pamoja na kutoa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wataalamu na wazoefu wa Lugha ya Kibena au Wabena naombeni tafsiri ya neno "Zawadi" kwa lugha ya Kibena Asante nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu habari, natumai mu wazima usiku huu mkiwa mmejipumzisha baada ya pilika za mchana, Moja kwa moja niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu naomba kwa wale walioishi South na wale...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
1)Mimi nataka kujua,kuuliza si ujinga Swali nalipambanua,kusikiza najipanga Masikio nainua,Leo nitoke na mwanga Eti kupiga kidaku,ilikuwa ni haramu ? 2)Daku walituhamsha,kwa qaswida wakiimba...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
kwa sisi ambao lugha yetu mama si ile ya malkia,katika kusoma soma vijarida mbalimbali nikakutana na hiki naomba tu shee nadhani kitasaidia na wengine kama kilivyonisaidia mimi quoted; Listening...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
NIHAMSHE DAKU. 1)Ule usiku wa Jana,miye nimepitiliza Usingizi kanibana,kubaki najigeuza Nilipo kuzindukana,muda nimeshaunguza Naomba mnihamshe,ili nami Nile daku. 2)Siyo Jana hata...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Back
Top Bottom