NDuLI maana yake nin kwa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NDuLI maana yake nin kwa sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by newmzalendo, Jan 28, 2011.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Neno NDULI ,nimelisikia kwa mara ya kwanza ktk hotuba za mwl,Nyerere ,kwa kumtaja adui wa taifa kwa wakati ule.
  Nduli idi Amini wa uganda.
  hivi hili neno maana yake hasa ni nini?je ni neno la kiswahili au kizanaki.

  mimi nashauri tuachane na neno fisadi tukimaanisha maadui wa taifa na uchumi wetu,

  ITs time we call mafisadi kwa maneno makali na yenye kuvuta hisia halisi za enzi ya mwalimu
  Eg, NDULI ROSTAM AZIZ
  NDULI ......
  Kwa kutumia neno nduli tunaondoa kabisa uzalendo wao na ubinadamu wao kama Nyerere alivyo uondoa ubinadamu wa Iddi Amini.
  nakumbuka tukiwa shule neno Nduli lilitumika kwa mtu mbaya sana ambaye anaweza kula nyamba ya binadamu(kama ktk sinema ya iddi amini)

  so from now on it should be NDULI RA
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kuna kiwanja cha ndege iringa kinaitwa nduli
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nazungumzia
  Nduli Idi Amini
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Maana ya NDULI ni shetani mkubwa, jinamizi, zimwi,thug n.k
   
 5. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  kimasai inamaanisha TIGO, so watch out usimwite baba yeyo nduli.......
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  he heee, eti nduli RA!
   
Loading...