Najifunza Kiingereza, niulize chochote kweny huu uzi wangu nami nitakujibu kwa kiingereza changu kibovu

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Hellow members I'm here to improve my english so I will going to reply all the contribution here through english language please dont stare or lough on me when I do the mistake in grammar or tenses I'm here to learn and Improve capability of talking and writting english.

Nb: all contribution on this thread must be in english and not other wise.

Yours in learn
Thanks in advanse guyz
 
Kiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya

Nk
 
Baba amekuja kazini amechoka

Father is comming at work while is tired
 
Kiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya

Nk
Daddy you need a rest, you must be tired
2. Accept my condolences
3. I’m sorry, I didn’t mean to do that.
 
Back
Top Bottom