Hello guys?
I hope you are fine .
Here in this platform it intends to all learners of english language to boost our level of writting ,listening and speaking english language.
So you may share...
Hii clip nimeshindwa kuimalizia baada ya kuona hawa waandishi wanakosea kwa makusudi matumizi ya l na r.
Kuna mchungaji mmoja redioni niliacha kabisa kusikiliza mahubiri yake baada ya yeye...
1)Nayakumbuka majonzi,yalotokea Arusha
Wengi wao wanafunzi,kifo kilitukumbusha
Mwenyezi alomjenzi,ndie ataetufisha
Ulikuwa ni msiba,uloshitua taifa.
2)Watu waligaragara,machozi yakawatoka
Haikuwa...
Wakuu,
Natumai asubuhi ipo murua kwenu,
Jamani kuna hii kero ya hawa ndugu zetu kutoka Shinyanga bila kusahau Mwanza na maeneo mengine ya kupenda kuongea kilugha.
Yaani wanadhani hii nchi ina...
Imefika wakati basi Baraza la Kiswahili lihalalishe tutumie "R" panapokuwa "L" na vice versa...
Maana watu tunashindwa kabisa kutumia hizi Letters panapotakiwa, mfano..
Karo = Kalo
Kura = Kula...
*R.I.P[emoji779]*
*R.I.P[emoji779][emoji779]*
*R.I.P[emoji780][emoji780][emoji780]*
⚰⚰[emoji24]⚰⚰[emoji24]⚰⚰
*"PUMZIKA KWA AMANI" [emoji779]*
JE KUNA AMANI IPI KABURINI[emoji780][emoji15]...
Uamkapo asubuhi shikamooni wazazi,
Utakapo kwenye shughuli zako za kutafuta mkate unapofika nyumbani,je utatakiwa kuwaamkia tena shikamoo au kuna salamu nyingine?
1)Mamkuzi na salamua,juu yenu iwe amani
Salamu kwetu muhimu,tena jambo la imani
Kusalimu yalazimu,ni kale tangu zamani
Mei mosi na ujumbe,natamani kuutoa
2)Heko kwa wafanyakazi,walioko makazini...
1.Nini asili ya neno ''KISWAHILI'' nimegoogle zijaipata
2.Ni ipi maana sahihi ya push-up kwa kiswahili,ukiachilia mbali ''kushinikiza?
3.Kuruka ki-chura chura,nashauri ibadilishwe tuwe na neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.