Somo la Kichaga cha Mkuu Rombo kwa ajili ya N.L. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somo la Kichaga cha Mkuu Rombo kwa ajili ya N.L.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by SHIEKA, Aug 25, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Haloo Nai, Natumaini hujambo. Kule chitchat uliniomba nikufundishe Kichaga cha Mkuu Rombo. Bila shaka ulikuwa serious, ulikuwa hutanii. Nakuletea somo hilo kwenye hili jukwaa maalum kwa ajili hiyo. Tuanze.

  Kwanza, jambo ambalo huenda likakushangaza sana ni kwamba kuna vilugha vingi vya kichaga kutegemeana na sehemu. Hii ina maana kwamba kichaga kinachozungumzwa Machame ni tofauti sana na kile cha, tuseme, Kibosho. Hali kadhalika kinachozungumzwa Uru ni tofauti na kile cha Kirua au Kilema. Ila cha Kirua, Kilema,Marangu na Mwika vinafanana kwa kila kitu: Kiimbo(intonation), msamiati nk. Cha Rombo kinaogopwa na wakazi wengi wa Kilimanjaro kwa sababu eti ni kigumu sana. Sina uhakikana hilo labda kwa sababu mimi ni mzungumzaji wa kirombo. Halafu basi kwenye kirombo kuna maajabu yake! Kirombo kinachozungumzwa sehemu iitwayo Mamsera(karibu na Mwika) ni tofauti na kile cha Mashati au Useri na Tarakea.Lakini kijiografia, Mamsera mpaka Tarakea yote hiyo ni Rombo.Unaona hapo? Leo nitakufundisha Kiorombo kinachozungumzwa Mkuu-Kwa Maangulwa na sijui kama kitakufaa kwa shughuli zako ukiwa na yule mtu uliyenieleza kule chit-chat.
  Leo tutaanza na (1)Nafsi (Persons) na tutatazama (2) vitendo(verbs)

  (1)Nafsi:
  Nafsi za Kiorombo ni kama zilezile za Kiswahili yaani

  Kiswahili Kiorombo
  Mimi Nyihany
  .............................................
  Wewe Vehave
  ..............................................
  Yeye Ve
  ................................................
  Sisi Sohaso
  .................................................
  Ninyi Nyohanyo
  .................................................
  Wao Vo
  ...................................................

  Kila nafsi hapo juu ina kiambishi(subject prefix) yake. Tazama kiambishi kwa kila nafsi hapo chini.
  Kiswahili Kiambishi (Subject Prefix) Kirombo Kiambishi .....................................................................................
  Nafsi Mimi ni.... Nyihany ng....
  .....................................................................................
  Nafsi wewe u...... vehave u.....
  ......................................................................................
  Nafsi yeye a..... ve ne....
  ........................................................................................
  Nafsi sisi tu..... sohaso du.....
  ........................................................................................
  Nafsi Ninyi m...... nyohanyo m........
  .........................................................................................
  Nafsi Wao wa..... Vo ve........

  Baada ya hizo nafsi na viambishi vyake tutazame verbs
  Common everyday verbs:
  ku_la = i_la
  Ku_lala = i_laa
  Ku_cheka = i_seka
  ku_tazama =i_sakwa
  ku_ona = i_lolya
  Hapa waweza kuona mara moja kwamba infinitive ya vitendo kiorombo ni i.. na kiswahili ni ku..

  Kuunganisha nafsi na vitendo:
  Kuunganisha nafsi na kitendo kuelezea ulichofanya kunategemea wakati (tense)
  Present tense ya kiswahili ni _na_, ya kiorombo ni _i_. Tazama mifano ifuatayo:
  Kiswahili: Ni na kwenda
  Kiorombo Ng i enda
  Tunacheka = Duiseka

  Unaelewa siyo Nai? Naomba kwa leo tuishie hapo ila nakuachia mazoezi yafuatayo:
  1. Tafsiri kwa kiorombo sentenso zifuatazo:
  (a) Tunakula
  (b)Wanacheka
  (c)Unatazama

  Sasa sijui kama approach hii umeipenda. Toa dukuduku zako uleze unavyotaka kujifunza.
  Asante, Nyihany Hygeia
   
 2. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Wewe mkaree aisee
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaangu ngakunda wawe wakuu nyanyi ngilawa mkuu rombo kwakwa ni mengwe waishwa nyanyi ngiishi kishaka ungusha kuu waishwa

  tilima kwanza ngiole mbeke mmeku wakwa
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Haya ndao mndu akwa vehave MKUU ROMBO.Kila mfiri ngekukolya kuni adi uunywa wari tiki. Wenangwafo?
   
 5. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,321
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 280
  Thanx Hygeia. Somo ni refu, ntarudi baada ya sensa kulisoma vizuri.
   
 6. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,321
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 280
  Kaka HYGEIA, approach yako ya grammar ni nzuri. Hofu yangu ni kuhusu matamshi. Utaweza kuniandalia audio ili nisikie kiorombo kinavyotamkwa? am really interested!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Hujambo Naisujaki Lekangai? Somo la Kirombo ni kweli lingekuwa zuri kama ungesikia matamshi yake.Bahati mbaya sana sina technical know how ya kukuandalia audio ya namna yoyote ile.Hata hivyo ntajaribu kuchunguza uwezekano huo. Anyway, unaonaje tukakutana mahali face to face kama muda wako unaruhusu? Mimi naweza fanya mpango huo wa kukutana ingawa niko tight sana kwa sasa kwa sababu mke wangu ambaye pia ni memba hapa JF anaumwa na muda wote niko naye kumhudumia kwani vitu vingi hawezi kumudu mwenyewe bila msaada. Kwani wewe kwa sasa unaishi wapi? Mimi mara nipo Moshi na muda mwingi nipo Arusha kwa my wife wangu. Moshi ninayoishi si Moshi mjini ila ni kwenye wilaya fulani remote kwenye bush. Nipe jibu haraka nijue la kufanya kukusaidia kuhusu kiorombo prononciation and intonation.Nihayo tu kwa leo.
  Je, umeshahesabiwa? Umekuwa wa ngapi?
  Thanx,
  Ni mimi mworombo mthai, Hygeia

  NB Mazoezi nlokupa mbona hujayafanya?
   
 8. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,321
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 280
  Kaka hygeia. Nashukuru kwa majibu ya haraka. Mazoezi niliyaona ila katika kujiandaa kuyafanya nikapata wageni kutoka Tabora. Nimeshawahudumia na sasa nikiwa nawasubiri makarani wa sensa naona ni wakati mzuri wa kufanya yale mazoezi.

  a) Tunakula
  (b)Wanacheka
  (c)Unatazama

  Uliniambia nitafsiri hizo sentenso kwa kiorombo sio? Haya naanza:

  a) Tunakula = Du_i_la (Duila)
  b) Wanacheka = Ve__i_seka (Veiseka)
  c) Unatazama = U_i_sakwa (Uisakwa.)

  Nimepata au nimekosea? Matamshi na intonation sasa; hapo ndo kazi.

  Kweli ingekuwa jambo la maana sana kwa upande wangu kama tungekutana. Kumbe mkeo yuko huku JF? Ni nani vile?
  Mpe pole sana. Naomba tuwasiliane zaidi kwa njia zifuatazo ili tupange namna. Kukutana Arusha ingekua poa kwangu kwa sababu kwa sasa namsaidia baba mdogo kwenye duka lake la vifaa vya ujenzi lililopo Sekei kutazamana na Mount Meru Hotel. tuwasiliane kwa (1) 0759-856491 au kwa email: Naisujakimollel@yahoo.com Kama utatumia simu tafadhali iwe ni kwa sms tu kisha u-sign off hygie. Hapa dukani makelele ni mengi mno sitokusikia ukipiga. Na pengine twaweza kupanga kukutana Moshi maana huwa naenda Tarakea mara kwa mara.
   
 9. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Nyo vandu mwangcha hoi sana maana kila ngndo mwaamba ni chra loi....... Karibuni kwamodu hala maangulwa dufundishane usha...
   
 10. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Dada Nai, mazoezi umeyafanya vizuri ila kweli ungepata audio ungefaidi zaidi. Hilo la audio haitowezekana kwa hiyo tupange kukutana tu kwa kutumia hizo contacts ulizonipa. Mke wangu anafahamika sana hapaJF, anaitwa Erotica. Nimemweleza unavyopenda kiorombo na anashangaa kwanini unakipenda hivyo. Ana hamu ya kukuona. Anauliza una mpango wa kuolewa rombo au vipi? Tutakapokutana nitakuja na somo la pili juu ya present tense na past na misamiati muhimu. Jiandae! Bye!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,293
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nimevutiwa sana na hii kiasi kwamba nimejikuta na mimi nahitaji kujifunza pia ngoja nimtafute mrombo wa karibu anisaidie kwani miaka ya nyuma saaana nilikuwa naweza kuongea lakini nikahamia sehemu nyingine ikabidi nijifunze lugha nyingine hivyo kirombo kikaisha na nilikuwa chini ya miaka 5
   
 12. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Haya lai moolisa akwa Vmark. Vehave ufumye kwa maangulwa? hata nyihany. Mwanashu nakundi amanye kiorombo vai nare mnduakwe tarakyaa vai. nakundi vakasumana vatete kshaka vai. haya u lai. weomberwa aja vehave? Inyi ngeomberwa mtaresi
   
 13. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Ngeomberwa Assenga ndi msoro..... Kwa sasa ifi ni ku ukeri are lhau? Ni ngefanya kasi Cingida na Arusha... Karibu sana mwana mae......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  aiseee babaangu nyinyi nginangwa kuu tilima kwansa ngiole se wari wawakwa ngisha
   
 15. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Vmark. kumbe weomberwa Assenga! Haya Assenga. Nyihany ngekaa handu helahwa Mungushi kfuhi na Sanya. Horombo ngeenda mfiri umu umu kwaasha. kuny Mungushi ngilesamyafo kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Fo Mungushi nifo wefanya kasi au nifo shemeji Erotika afumye are dhauu? Ngienda Horombo wiki yo iisha kwa hiyo ngektafuta kaka.....dukeri voosa kabisa!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Vmark. Kuny Mungushi ngerunda kasi ya shule, ngefundisha shule imu yelahwa Mlingoti Sec. school. Erotica ekaa kunyhakuny ku. Ve nekaa ruusa, edima isha na kuny ku. Nare kasi yakwe fo arusha (ruusa). Ngemenya kolya mfiri sho wesha na moshi dwedima ilolyana au ehe. Ngire kasi nyiingi sifure bbasha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,126
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Vmark. Kuny Mungushi ngerunda kasi ya shule, ngefundisha shule imu yelahwa Mlingoti Sec. school. Erotica ekaa kunyhakuny ku. Ve nekaa ruusa, edima isha na kuny ku. Nare kasi yakwe fo arusha (ruusa). Nesha na kuny mfiri umu umu. Ngivekeri nave ookya hisho ijumaa naenda luni Jumapili.Ngemanya kolya mfiri sho wesha na moshi dwedima ilolyana au ehe. Ngire kasi nyiingi sifure bbasha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,321
  Likes Received: 1,282
  Trophy Points: 280
  HYGEIA, kumbe huku JF wapo warombo! Naona wamenogewa wakajitokeza. Nilitaka kukuambia hivi, kuna kitu muhimu tumesahau. Mbona hujanifundisha greetings? I mean, how does one greet people in Kiorombo? elders and people you respect,peers etc. Hio aisee ni muhimu sana naomba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Ngikeri kaa Horombo tangu hivo kyo mwanandie.......ve bado ukeri Sanya tiki? Karibu dule wikyendi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...