Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
THAMANI YA POPI. 1)Tumeirudi miaka,ile tisini na ine Anathaminiwa paka,na wale watu wengine Tumeiruka mipaka,tumenda pande nyingine Ya binadamu thumuni,thamani ya popi kubwa 2)Utu wazidi...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Siku za karibuni kumekuwepo mlipuko (outbreak) ya matumizi mabaya ya maneno ya lugha ya Kiswahili katika majukwaa ya JF. Inaonekana ima watu wanaigana katika kuandika vibaya au hawajui wanaiga...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
naombeni maana ya hili neno "kimalando" kwa kichaga na usisahau kusema ni kichaga cha wapi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
1 Reactions
6 Replies
1K Views
So close..' out of reach So physical' untouchable So few, uncountable So visual! yet to be seen Black and void in the womb In the primodial waters Black, void the source So hopeful for the...
1 Reactions
2 Replies
879 Views
Kichaga kama Kifaransa vile... Kwa uvivu wa kuita majina ya Watu hadi liishe huwa ni ngumu sana... huyo Clement huitwa Cle me.. Hii Bonsavoo inaendana na Bonjour.. ai see Clement Hebu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wa Jf wote. Mimi nipo naishi Arusha. Nilikuwa nauliza wapi nitaweza kupata chuo cha kujifunza lugha ya kichina ? Mwenye kufahamu awasiliane nami kwa email ya iddyallyninga@Gmail.com...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu, Excellent Training Center ni kituo cha kufundisha masomo ya QT na wanaorudia form IV, pia tunafundisha Elimu ya Watu Wazima wasio jua kusoma na kuandika. Kwa miaka yote tumekuwa...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
YAPENDEZA MUOANE. 1)Nimekaona kapicha,cha bibi na bwana yule Leo sitaki kuficha,picha nimeona kule Karembo kamejificha,siyo katoto cha shule Ninga nakupa salamu,Uhega nenda uoe. 2)Mbona...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Nini tofauti kati ya Makamu wa Rais, Naibu Rais na Kaimu Rais. Kwa uelewa kidogo nilionao naona kiutendaji Naibu Rais ana nguvu kuliko Makamu wa Rais. Je, imekaaje vyote ni sawa au kunautofauti...
4 Reactions
24 Replies
11K Views
SHAIRI: KWANINI TWAKICHAFUA KIOO? MTUNZI: MULIKUZA PASCHAL Mara nyingi huwa hakidanganyi kile kionacho, Huonyesha taswira iliyopo mbele yake bila mficho, Haijalishi taswira ina muonekano gani kwa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
TWAKIMBIA TARAWEHE. 1)Ni Mara moja kwa mwaka,swala hii twaipata Ingawa tunairuka,bila nafsi kutusuta Nyumbani twa tawanyika,nini twaenda tafuta Twakimbia tarawehe,kama tumeona nyoka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Misamiati Mipya ya Kiswahili Vitate, Vitawe na Visawe 3 days ago ICU (intesive care unit) = SADARUKI. Serikali ya Mseto (coalition government) = SERIKALI MAHUTUTI.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHIMBUKO LA VINA NA MIZANI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI KURUNZI YA USHAIRI Kabla ya kujikita katika vina na mizani si budi tukaangalia kwa muhtasari chimbuko la ushairi wa Kiswahili. Licha ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE RIWAYA YA KISWAHILI NUKUU ZA SOMO: MAANA YA RIWAYA NA AINA ZA RIWAYA: Riwaya imefasiliwa na wataalamu mbalimbali miongoni mwao nikama...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MADA MPYA 3: KUHAKIKI KAZI YA FASIHI ANDISHI MADA NDOGO: MAENDELEO YA FASIHI ANDISHI. A.Mwelekeo wa kazi za fasihi andishi nchini Tanganyika na Zanzibar wakati wa ukoloni. KIMAUDHUI: Kazi...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Haloo Nai, Natumaini hujambo. Kule chitchat uliniomba nikufundishe Kichaga cha Mkuu Rombo. Bila shaka ulikuwa serious, ulikuwa hutanii. Nakuletea somo hilo kwenye hili jukwaa maalum kwa ajili...
4 Reactions
50 Replies
30K Views
Kwa heshima kubwa nakuomba Dr. Slaa ambaye najua umo humu jamvini unisaidie kunipa maana na tofauti ya maneno haya Waraka na Tamko. Nimekuja kwako Dr kwa kuwa najua wewe ni mbobezi katika mambo...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
BOOKS FESTIVAL NI NINI ? Ni Tamasha la namna ya pekee kutokea Tanzania mahali ambapo Waandishi wa vitabu, wasomaji na wabunifu wa kitanzania hukutana pamoja. Kupeana udhoefu ili kujenga nchi yao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom