Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
TUACHE ISIRAFU. 1)Wapo wanakula sana,wafuturu kwa haraka Leo twalinganiana,chakula kiwe haraka So kwamba twasema,tusije kukasirika Tuacheni isirafu,Tufuturu kawaida. 2)Mtu wafuturu sana,kama...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Utani cpendi
0 Reactions
1 Replies
799 Views
KARIBU TUFUTURU 1)Jamvi natandika nje,njoni tukusanyane Njoni goti tukunje,kwenye kheri tukutane Hata kama ni vipunje,hivyo hivyo tugawane Karibuni tufuturu,mwisho na dua tuombe. 2)Japo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TUWAGOMBANISHE 1)Tumeichoka amani,iliyopo duniani Tukawatie vitani,waishi kimashetani Tukawavishe medani,tuue yao amani Twende tuwagombanishe,dunia imwage damu. 2)Twende tuwapiganishe,kisha...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Tuwe wakweli!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SIFUNGI NASHINDA NJAA. 1)Siku yangu imeisha,bila hata ya kuswali Funga nimetamatisha,na mengi yangu maswali Funga yangu bila swala,sifungi nashinda njaa. 2)Hii yangu funga gani,hata swala...
1 Reactions
1 Replies
970 Views
POLE KWA SWAUMU. 1)Japokuwa nalegea,ila katu sitochoka Siku nazo zakimbia,taratibu zaondoka Hazito tusubiria,kwa kasi zitaondoka Ndugu msinipe pole,sijachoshwa na swaumu 2)Pole zenu...
2 Reactions
5 Replies
636 Views
MGENI WA MWAKA. 1)Tumesubiri kwa hamu,kukwona mgeni mwema Nyingine hii yetu zamu,kufikwa tu wazima Tulikuwa to fahamu,tungekwona ewe mwema Mgeni mwema wa mwaka,karibu kwengu nyumbani. 2)Muda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mwalimu wa kunifundisha kupitia njia ya mtandao Language 1. *** Nawasilisha wakuu
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Sasa nimekuwa nasafiri uarabuni nikipata shida nyingi ya lugha. Najua kiswahili na kiarabu vinafanana kwa hivyo naomba watu nisaidie maneno yaliyo takriban yaleyale kwa hizi lugha mbili...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
KIZA, MUNGU, KIFO, VITA, NJAA NA MARADHI. Mungu(light) na Kiza(Darkness) ni ndugu. Hakuna aliyeumba, wametokea tu, lakini wa kwanza kutokea KIZA kisha akafuatia NURU (Mungu). Kiza ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
https://3.bp.blogspot.com/-5PGbAnbWxMM/Wvrlvtqy07I/AAAAAAAACiE/zY6sd7CbIdwjEOIszZrKSuYB43FG04NwQCKgBGAs/s1600/IMG_20180515_161348.jpg 1)Alievuka mipaka,ya utu kwake hakomi Alo na roho ya...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Kumbe mkuu ni hodari kwa terminology nimemskia sana akitamka hili neno nisijue maana yake nikahisi limekosewa kumbe ni neno sahihi kabisa. Hongera mkulu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siyabonga Nkhosi ya Makhosi Siyabulela Wahambanati
3 Reactions
11 Replies
7K Views
MAMA WA THAMANI 1)Dua njema nakombea Mama ngu ulonilea Mpaka Leo nimekua Japo kwako ni mtoto. 2)Mengi nimeyapitia Kipindi kile nakua Leo mama natambua Jinsi ulivyonilea. 3)Hakika uliumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni tofauti gani iliyopo kati ya POSTAL ADDRESS na PHYSICAL ADDRESS?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1)Nikumbatie lazizi,mjini nitokeleze Niliendeshe jahazi,huku nikipiga zeze Nipande nishuke ngazi,kutwa mzima nikuwaze Nibebe nibembeleze,miye kwako nitulie. 2)Wakwanza nivunje nazi,kwa watu...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Hello guys? I hope you are fine . Here in this platform it intends to all learners of english language to boost our level of writting ,listening and speaking english language. So you may share...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Naomba tusaidiane tuandika sentensi "Tatu Mzuka" kwa lugha ya kiingereza. Karibuni.
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom