decomm
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 726
- 655
R. I. P. Lugha ya Kiswahili.
Reo Hasubui nirikuwa napitapita kwenye mitandao ya kijamihi nikahona mahajabu ya jinsi vijana wa siku izi wanavyo handika mitandaoni.
Kiloho safi awana ata wasiwasi, jalibu sasa kuwakosoa ndipo utakapohona wanavyo kushamburia, eti badara ya kuangaria maana nzima wewe hunakazania tu kukosoa.
Ivi naomba kuhuriza kwani kuna makosa kumlekebisha haliye kosea kuhandika?
---------------
Hadi nahisi gumbizi (kizunguzungu).
Samahani wadau, jinsi ilivyokukera kusoma maandishi machache hapo juu ndivyo ninavyo kerekwa kila siku ninavyo soma post za vijana wetu wa siku hizi.
Kiukweli kuna wadau ambao wanajifunza lugha yetu hii adhim na hupitia kwenye majukwaa mbalimbali ya kijamii kupata uzoefu. Ni vizuri wajifunze yaliyo sahihi na siyo kujifunza makosa.
Hivyo, tusikasirike tukirekebishwa.
Naomba kuwasilisha.
D.