Nini maana ya msemo 'siyo wa nchi hii '?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Saivi ukiwa mjini utasikia tu vijana na mabinti wanasema :

" Mimi siyo wa nchi hii wewe...". " Hii siyo ya nchi hii …" Au " Yule si wa nchi hii".

Ni tumsemo tunatokuja kwa kasi sana kama ule wa '' jomoni...''.

Neno " wa nchi hii" nini maana yake ?

Watu wa Dar es Salaam tusaidieni.
 
kwa mfano huu uzi sio wa nchi hii namaanisha huu uzi ni noma,mzuri kwikwi,ni babalaa na vitu kama hivyo
 
Yani nchi ni ya hovyo hovyo, kwa maana nyingine ni "Butua bora liende"
 
Ushamba ulio kubuu!
Ni dalili ya kuidharau nchi yako!
Dadeki zao walahi
 
Back
Top Bottom