KUONYESHA na KUONESHA ni maneno ya kiswahili fasaha, maneno haya yamekuwa yakitumiwa tofauti katika mazungumzo yetu ya kila siku...
Nini mzizi wa maneno haya? Swali hili litaweza kutupatia majibu...
Habari zenu wana bodi.
Huwa najiuliza maswali lakini sipati majibu lakini leo naomba nanyi mnisaidie.
Tanzania tuna makabila mengi na haya makabila yanaongea lugha tofauti. Lakini pia tunaongea...
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu...
Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni...
Nimefuatilia jamii nyingi duniani zina herufi na namba zao, mfano wachina, waarabu, wakorea, wazungu
Je nini chimbuko la herufi na namba hizi? Walifanikiwa vipi walio na herufi zao?
Msaada kwa...
Habari wana wa JF.
Leo kupitia radio DW nilisikia neno " Mawaziri hao wawili walipigana PAMBAJA na kuwashangaza wengi ktk mkutano huo wa umoja wa Mataifa.
Mawaziri waliozungumziwa ni wa nje wa...
Ni mbuzi dume ambaye tangu udogo wake huwa hatulii, anafujo, zizi zima hupenda kutawala yeye, kelele mwanzo mwisho, hana utulivu hata kwa mbuzi walo zaa wala watoto.
*Wahenga waliona mbali sana...
Habari zenu wana JF.
Nimeona watu wengi kwenye majukwaa mbalimbali wakitamani kujifunza lugha ya Kichina. Wenye nia hiyo wanakaribishwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Confucius Institute. Madarasa...
Naomba watalaamu wa kiswahili wanisaidie kwanini tunaandika Mbwa badala ya Mmbwa,Mbu badala ya Mmbu na ikizingatiwa kimatamshi tunatamka Mmbwa na Mmbu badala ya Mbwa, Mbu?
Maneno yapo mengi ila...
Habari zenu Wanajukwaa?
Ninayofuraha kuandika katika jukwaa hili kwa siku ya leo.
Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, hivyo ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha hii...
Habari zenu Wanajukwaa?
Ninayofuraha kuandika katika jukwaa hili kwa siku ya leo.
Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, hivyo ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha hii...
Ndugu zangu hii application ya simu, ya kujifunza lugha ya Kiarabu kwa Kiswahili nzuri sana, inafanya kazi katika simu za Android;
Inapatikana hapa "Jifunze Kusoma Kiarabu" -...
Nimekuwa nikipitia majukwaa mbalimbali mitandaoni, nimeona waafrika wengi wakivutiwa na Kiswahili, hasa wanaposikiliza nyimbo za wasanii kama Diamond Platnumz.
Kiswahili kina viimbo vitamu...