ARUSHA: Miaka 5 ijayo nahisi watakuwa na Lugha yao!

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Ha ha ha ha
We Tazama Video Yao Hapa Chini Kisha Toa Maoni Yako
 
Attachments

  • Rais Wa Wambea Shilawadu (@soudybrown) • Instagram photos and videos.mp4
    3.8 MB · Views: 76
Machaparara
tapatalk_1541605650140.jpeg
 
😆😆
 
Attachments

  • 43844409_1963337180632135_1315404962137636864_n.mp4
    5.8 MB · Views: 47
Mabibi wa chugastan nao ni shida ...kila kitu ni wiuwiuuu
 
Attachments

  • 46995323_304019970452229_3198515759407955968_n.mp4
    4.6 MB · Views: 47
Ingine hii hapa...
 
Attachments

  • 45454359_1867826163339617_9220042140120252416_n.mp4
    6.8 MB · Views: 45
Huu ni ujanja au ujinga....hii fiesta ndo mana ilipigwa fimbo na Wasafi festival...chapati kama kalai..bangi zikikujaa vibaya uanweza ukawa unafkri kwa kutumia kijampio..huyo mina aly kawekwa kwenye tangazo la kujiftisha sauti ya kiumen ila anang'ang'aniza kuita baibee...kiujumla tu ni ushamba tusizunguke zunguke sana
 
"Temana nasi kama umekaa kireee"
Swagireeeee
 
Chuga hiyo,jiji la wajanja,maisha ya ukweli. Dolari ya niga ndo hela ya mboga unaacha home ukitoka asubuhi
 
Back
Top Bottom