Wakuu njooni tujifunze Kiyahudi/Kiebrania Lugha aliyoongea Mungu enzi hizo

matunduizi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
1,433
Points
2,000
matunduizi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
1,433 2,000
Erev tov - Habari za jioni.

hatuwezi kuandika kwa zile alama maana keyboards za android hazina hebrew aphabets.

karibuni. sio lazima uwe unakijua, tumia hata google. Lugha hujifunzwa kwa kulazimisha usitafute urahisi.
 

Forum statistics

Threads 1,303,746
Members 501,127
Posts 31,491,051
Top