Jifunze English tenses kwa Kiswahili


J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.

PRESENT SIMPLE TENSE
Pia hujulikana kama everyday tense ikiwa na maana kuwa kitendo hufanyika kila siku.
SHERIA 1
>< Uongezaji wa -s, -es au -ies mwishoni mwa kitenzi (verb) ikiwa imetanguliwa au imetumika noun au pronoun iliyo ktk nafsi ya tatu umoja (he, she, it) au jina kama Daud nk na mara nyingi utakuta maneno kama usually, daily, every....
mfano:
<> She cries everymorning
<> He plays football daily
<> Japhet goes to the market every month
SHERIA 2
Kutoongeza chochote kwenye verb (kitenzi) pale unapokuwa umetumia pronoun au noun za wingi na I kama they, we, you au Amina and Tedy
Mfano;
>< We normally chat
>< our sisters cook food daily
>< I go to the shop usually
>< Juma and Glad play volleyball every sunday

PENYE MAREKEBISHO, MASWALI... KARIBUNI, LENGO TUELEKEZANE PENYE UTATA
 
Msafiri Kasian

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,905
Points
1,250
Msafiri Kasian

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,905 1,250
Vizuri, ni kweli tense ni tatizo la wengi na ukizingatia ndo msingi wa sentensi zinazoleta maana inayokubalika, ni tatizo kubwa. Endelea kutusaidia mkuu, I appreciate your work.
 
N

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
240
Points
195
N

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
240 195
Pia tunatumiaga "do" na "does" plus verb kama inakuletea shida especially kwenye irregular verbs
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
Nyakahanga, ni kweli mkuu, ungetuwekea mifano kidogo ili wanajf wanufaike zaidi
 
mabumbe

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Messages
304
Points
195
mabumbe

mabumbe

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2010
304 195
Hivi hii sentence ina makosa,

She normally goes to schoo,
 
Chungu cha bibi

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
530
Points
225
Chungu cha bibi

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
530 225
Heshima yenu wakuu, mara nyingi mtu unaweza kuwa mzuri sana kwa grammar lakini tense zikakuumbua. Mathalani;
>She love her dady very much badala ya >she loves her dady very much.

PRESENT SIMPLE TENSE
Pia hujulikana kama everyday tense ikiwa na maana kuwa kitendo hufanyika kila siku.
SHERIA 1
>< Uongezaji wa -s, -es au -ies mwishoni mwa kitenzi (verb) ikiwa imetanguliwa au imetumika noun au pronoun iliyo ktk nafsi ya tatu umoja (he, she, it) au jina kama Daud nk na mara nyingi utakuta maneno kama usually, daily, every....
mfano:
<> She cries everymorning
<> He plays football daily
<> Japhet goes to the market every month
SHERIA 2
Kutoongeza chochote kwenye verb (kitenzi) pale unapokuwa umetumia pronoun au noun za wingi na I kama they, we, you au Amina and Tedy
Mfano;
>< We normally chart
>< our sisters cook food daily
>< I go to the shop usually
>< Juma and Glad play volleyball every sunday

PENYE MAREKEBISHO, MASWALI... KARIBUNI, LENGO TUELEKEZANE PENYE UTATA
Chart au chat...me najua hyo chart ni ya kwenye majedwari...
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
mkuu kuna maneno yananishindaga kuyaweka kwenye kiingerza

mfano, nilikuja sikukukuta,
Hope itakuwa,

I came but I did not find you = Nilikuja lakini sikukukuta
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
PRESENT PERFECT TENSE
(wakati uliopo hali timilifu)
inafuata punde.......
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,348
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,348 2,000
Uzi mzuri sana. Lakini mkuu Kiingereza hakisomwi kwa kukariri kama hivi. Ukisoma a lot of story books and novels, kiingereza kitakuja chenyewe automatically. Mimi sikuwahi kujifunza english structure zaidi ya kusoma vitabu vingi na kiingereza ndilo somo pekee nililopata A, pamoja na kwamba nilikuwa nachukua sciences.
 
D

Destiny

Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
31
Points
70
D

Destiny

Member
Joined Feb 23, 2012
31 70
hili darasa ni zuri sana naomba liendelee siku baada ya siku, hakika litaokoa wengi
 
D

Destiny

Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
31
Points
70
D

Destiny

Member
Joined Feb 23, 2012
31 70
Jita mobile naomba ukitoa aina ya tense ufafanue kama ulivyoanza mwanzo
 
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
12,816
Points
0
utafiti

utafiti

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
12,816 0
Sentensi hii inaendaje kwa kiingereza? "baba mimi mwanao wa ngapi?"
 
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
115
Points
195
J

JITA MOBILE SCHOOL

Senior Member
Joined Feb 8, 2013
115 195
[FONT=&amp]PRESENT PERFECT TENSE[/FONT]

[FONT=&amp](WAKATI ULIOPO HALI TIMILIFU)[/FONT]
[FONT=&amp]Hii ni tense inayohusisha kitendo kilichofanyika na tayari kimetimia.[/FONT]

[FONT=&amp]SHERIA kuu katika Tense hii ni matumizi ya HAS na HAVE pamoja na matumizi ya PAST PARTICIPLE ambapo verb huongezewa &#8211;ed au &#8211;en na zingine hubadilika kabisa au hazibadiliki kabisa.[/FONT] [FONT=&amp]HAS;[/FONT][FONT=&amp] hutumika kwa Pronouns au nouns zilizo katika Umoja kama (he, she, it, Juma)[/FONT]
[FONT=&amp]HAVE;[/FONT][FONT=&amp] hutumika kwa Pronoun au Noun zilizo katika Wingi kama (you, we, they, Juma and Asha na I.)[/FONT] [FONT=&amp]Unapotumia HAS au HAVE kwenye sentensi ni lazima Verb ibadilike na kuwa katika mfumo past participle.

MIFANO
<>We have seen them passing
<>They have written their letters
<>He has eaten all the food

NB: MASWALI YANAYOENDANA NA MADA HUSIKA NDO YATAJIBIWA
[/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,945
Top