80% ya Wadada wa kibongo wanategemea mabuzi

Lady bado yapo huko badoo na tinder yanaliwa vihela vidogo vidogo vya nauli hahahaha kuna wadada wanapiga mizinga ya buku tano tano kwa siku hakosi hadi buku Mia kwa kutumia Smart phone yake tu
Hv siku hizi Kuna mabuzi au mbuzi!!! mabuzi yalikua enz za jk..
 
Nyie lalamiken wenzenu wanatoa mikwanja kama kawa
IMG_20190626_193848.jpeg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom