Je,Methali gani,nahau gani,au kitendawili gani kingefaa kutumika kwa Lissu hivi sasa?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,196
2,020
Habari wana jamii forum.

Lengo la uzi huu sio kudhihaki au kejeli bali ni kutoa elimu na kukumbushana kuhusu misemo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Kama wewe ulisoma shule ya msingi kama Mimi basi utakumbuka.Mwalimu wa soma la kiswahili anaweza kutoa habari fulani/kisa fulani kisha akakutaka utoa nahau,methali, Kitendawili kinachofaa kutumika Katika habari/mkasa huo.
Lengo ni kupima ufahamu.

Sasa kupitia mkasa wa mbunge lissu Je ni misemo gani ya kiswahili kingefaa kutumika.

1.Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
2.Mbaazi zikikauka husingizia jua
3.Hakuna marefu yasiyo na ncha
4.Mbio za sakafuni huishia ukingoni
5.Dua la kuku halimpati mwewe.
Weka zako
 
Shoga gay wa kiafrika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom