Lugha matata

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,127
2,000
Nataka kujfunz kiarabu vp apo kuna maticha???
Hivi unafikiri Waarabu wote wanaongea Kiarabu kile kile? Je unataka kujifunza Kiarabu cha nchi gani au ukanda gani?
Hivi unafikiri Muarabu wa Morocco au Algeria akienda kule Middle East akaongea Kiarabu chake ataeleweka? Be specific chief kituko1.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom