Please,give me the english words for the following swahili words | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Please,give me the english words for the following swahili words

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Arnold Ndosi, Sep 25, 2012.

 1. A

  Arnold Ndosi Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hello Comrades!!! It be said frankly that if one wants to learn something he or she must be curious and inquisitive... ofcoz,i genuenely want to learn english,i think the time when i will be able to speak and use it correctly nearly to the native speakers(english)i wl unexplanably be glady.


  In the process of learning English i have faced some constrains as i failed to translate the following kiswahili words into english and subsequently stammaring while i was speaking;
  (1)rungu. Mfn:alimpiga Kwa Rungu
  (2)kiherehere/kimbelembele. Mfn: Hacha Kujipitisha Kiherehere.
  (3)mara dufu. mfn,ujambazi umeongezeka mara dufu
  (4)kujipendekeza/kujibaraguza. Mfn:raisi Wetu Anajipendekeza Marekani
  (5)doto Na Kurwa
  (6)manati.
  (7)mume Wa Raisi
  (8)dagaa
  (9)kudeka
  (10)mtoto Wa Baba Mkubwa

  I Will be grateful and thankful If U Wl Examplify Those Words With Correct English Sentences.thax
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  1. A club ; he clubbed her
  3. Twice as much
  5. Twin sisters/brothers
  6. Catapult

  2 and 4 hata Kiswahili chako si sanifu, (nimelelewa kikristo kwa hiyo siwezi kuna-translate hiyo namba 4 maana English yake ni neno baya) ngoja waje wajuzi zaidi.
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  1. He clubbed him/her.
  2. Opportunism/opportunistic (ila huwezi kujipitisha kiherehere bali unakuwa na kiherehere).
  3. Multiplied/increase twofold/three times/..... (e.g. incidents of banditry have increased twofold in the past three months).
  4. Ingratiating yourself to ...... (e.g. our president is ingratiating himself to the Americans).
  5. Hayo majina ya doto na kurwa ni utamaduni wa Kitanzania ukitambulisha yupi kati ya mapacha alizaliwa kwanza na yupi alizaliwa wa pili. Labda na jamii zingine zina utaratibu wao hilo sijui. Ninavyojua kwa Waingereza mapacha wana julikana kama 'twins' na kila mmoja wao anakuwa na jina lake binafsi bila kujali aliiona dunia akiwa wa kwanza au wa pili.
  6. Catapult.
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kama unajifunza kiingereza eti kwa kutafsiri sentensi kwenda sentensi, utasubiri sana.
   
 5. m

  mpakato Member

  #5
  Nov 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo unashauri nini wewe unayejua?
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  7 First Gentleman - no so common though
  8 Sardine
  9 Spoil/pamper
  10 Cousin

  Wazungu hawana mtoto wa babamkubwa wala mdogo au mama mkubwa wala mama mdogo au mtoto wa shangazi au mjomba. Wote wanaitwa cousins.
   
Loading...