Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nawaza nawazua Kama ni fumbo fumbua Ila Kitendawili tegua Twenti twenti ilishawadia Uchaguzi watunyemelea Siasa yaanza kukolea Yatupasa vijana kuingia Huu muda si wa kuzodoa Taifa linatutegemea...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Profession ni kitu gani? Na nini anayeitwa professional?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
CHOZI LA MWANA ZIWANI Ngozi yote mesinyaa, Nywele zote mesosoka Chuchu zote mesinyaa, Kwake amebahatika Jasho linamhadaa, Maziwa meshakatika CHOZI LA MWANA ZIWANI, NANI ATAELIONA Maisha yalo...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
1. Haki ya nani Watu wamekuwa wakiapiza Sana kutumia haya maneno. Nimezoea sana kusikia watu wakiapiza kwa maneno ya yanayohusisha Mungu mfano " haki ya Mungu naapa, Maasafu ya Mtume, Yesu Kristu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunga sentensi,ukitumia neno panga Kama kivumishi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyependekeza kukumbushana lugha ya Kifaransa nakuunga mkono, inawezekana maana tupo wengi ila tunakuwa dormant kwa kutoitumia lugha yenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
32 Replies
4K Views
MUME AMEKUIBIA Mama Joti! Mama Joti!, hebu njoo mara moja Wala usije na kiti, naharaka sitangoja Tena uvae thabiti, ukatazame vihoja Mwivi uliyemfuga, mume amekuibia. Niliyoyaona huko...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hakuna Matata Sent using Jamii Forums mobile app
12 Reactions
232 Replies
15K Views
Huwa nasikia watangazaji wa mpira wakisema Mkwaju wa penalti. Mkwaju ni nini? Na hivyo kuna mikwaju ya nini na nini. Karibuni wataalam wa Kiswahili. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
6K Views
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimetafakari nikatamani kujua nani alileta msemo huu "MAAMUMA MZUNGU WA RELI". Na alimaanisha nini hasa?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kaniuliza anawezaje kusema sentensi hii kwa kiingereza? "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenye familia?" Msaada Tafadhali.
1 Reactions
42 Replies
28K Views
Sikuelewa TBC walichomaanisha hapa, mnisaidie.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pesa ina majina mengi sana ya Mtaani wewe Unatumia Lipi, Mi natumia (FUBA). Mfano: "Yule mwana Ana FUBA za kutosha" Cc Zero iq Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Before the lazy man turns over heavily the farmer has reached the farm Tafsiri kwenda kiswahili
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inadaiwa kuwa lugha ya Kiswahili haiko 'romantic'. Je, ni kweli? Lets share.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tofautisha misamiati ifuatayo: I. Subira na uvumilivu II. Shaka na mashaka III. Jeuri na kiburi IV. Shida na tabu V. Hekima na busara
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumia Kiswahili kuonesha utata wa Lugha. - Ni kwa vipi Lugha imekuwa gumzo kutokana na baadhi ya maneno kuingiliana, kufanana au kukosekana. - Au ni vipi watumiaji wa lugha walivyo kuwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakati fulani hapa JF watu husema kusoma si kuelimika, hivi tofauti ya Elimu na usomi ni nini. Unawezaje kutofautisha msomi ambaye hajaelimika na mtu aliyeelimika lakini ambaye si msomi?
1 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…