Salam,
Lugha hii ya kichagga (vunjo) ni katika daraja la mwanzo (elementary level). Hongera kwa waandishi. Lengo ni kusambaza ujuzi tu.
Nyie wanyiramba kumbe ni watu wa kutoka Sudan??
Stay...
‘Parliament’ ni neno la kiingereza linalomaanisha bunge, Lakini pia, kundi la bundi kwa kiingereza huitwa ‘parliament of owls’
‘School’ ni neno linalomaanisha shule, lakini pia kundi la samaki...
VITABU NILIVYOSOMA MWAKA 2019
1.Wisdom 2019 by Elija Mwape
2.Rosa mistika by E. Kezilahabi
3.Uamuzi wa busara
4.Ubunifu na kujiongeza by Dr Eliamani Laltaika
5.Historia ya wanyiramba by John Kito...
1: Kuna kitu Kama mvuke hivi au gesi kinachotoka unapokuwa unamenya chungwa chenza au limao au Hata ukikata kitunguu, kwa Kiswahili kinaitwaje?
2: Naujua upupu ni mmea ambao unawasha sana, lakini...
Naomba kujua tofauti kati ya managing director(MD) na director general(DG) pamoja na Chief executive officer ( CEO) ..... natanguliza shukran.....
Its not over until its over...[emoji769]
Imeripuka tufana, kuvunja za watu chemba
WUHAN nchini CHINA, kumi natisa DISEMBA
Si nyingine ni Korona, ndo hii imetukumba
Dunia ni taharuki, watu wanateketea
Tulisema ni wachina, itaishia ilipo...
Nimekaa nimewaza, kuliko kukaa bure hiki kipindi cha Corona, its better hata nijifunze lugha mbili au tatu za Kimataifa.
Lugha ya kwanza iliyokuja kichwani ni Deutsch (Gernam). Na nimeshaanza...
Wakuu habari,
Nahitaji mtu aliye serious kwa ajili ya kufanya tafsiri kurasa 37. Pages nyingi zinajirudia, roughly hazizidi pages 20.
Nahitaji mtu serious tu.
Malipo si haba.
Habari za humu wadau, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kufahamu vyema lugha ya Kingoreme nahitaji kusaidiwa jambo dogo tafadhali.
Kama unafahamu lugha hii naomba msaada, lugha hii huzungumzwa...
Nimekuwa nikifuatilia uandishi wa Waandishi mbalimbali wa Habari na watumiaji wa mitandao hii ya kijamii. Kumekuwa na uandishi mbovu wa lugha ya kiswahili lakini Baraza lipo kimya bila kukemea...
Nimekuwa nikizunguka sehemu tofauti tofauti.
Nikaja kugundua kitu kibaya mno hivi sisi Watanzania au watu weusi ni specimen au tupo laboratory tunafanyiwa uchunguzi maana our id, imekuwa ikifanya...
1.Japo wengine walalama,Huku wengine wasifu,
Serikali imesimama,Japo si takatifu,
Maendeleo kuleta,Sio kazi ya kubeza,
Serikali ya wanyonge,Wanyonge waneemeka?!
2.Madudedude twaona,Twasema...
Ubeti wa kwanza:
Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita,
Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita,
Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata.
Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni.
Ubeti wa pili...
Hodi humu.
Juzi nilikuwa kwenye dala dala, na ilikuwa imejaa sana. Bahati mbaya mkaka mmoja alimkanyaga mdada kwa bahati mbaya. Yule mdada akaja juu kweli, lakini yule mkaka akajishusha akaseme na...