Nini tofauti kati ya maneno 'kuwaza' na 'kufikiri'?

Hivi kuna utofauti mkubwa bayana ya haya maneno ??

Je, nikiwaza ninaweza kuwa nimefikiri?
Kuwaza ni kuwa na mawazo juu ya jambo fulani, na ni tendo (kuwaza) linalochukua muda mrefu wa tafakari n.k. na kutegemeana na jambo unalowaza, linaweza hata kukunyima raha, kukukondesha, n.k.

Kufikiri halichukui muda na mara nyingi ni juu ya mambo yasiyo na uzito, ya mpito. Kufikiri pia inaweza kuwa kudhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom