Napenda kujifunza kihispaniola. Kama nawe unapenda lugha hii karibu tusaidiane

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,892
2,000
Wasalaam, Binafsi nilikuwa nimetazamia kujifunza lugha nyingine ya kimataifa, ambayo ni kihispaniola (Spanish,Español). Baada ya kujifunza mwenyewe takriban kwa mwezi mmoja hivi (source: You tube tutorials, Google play apps and books/Pdfs for both written and spoken).

Nikaona ni vyema kutafuta mtu ambae either naye anapendelea kujifunza lugha hii au tayari ni speaker (not necessarily native) ili atleast tuwe tunasaidiana katika lugha hii.

Anyone interested karibu kwa ajili ya kujisomea for educational,personal au leisure. Bienvenidos.
 

BelindaJacob

JF-Expert Member
Nov 24, 2008
6,185
2,000
jay311,

Hola amigo! Quel tal?
Soy BelindaJacob. Yo interesante para español practicando. Bien?
Muchas gracias. Feliz Sabado!
 

Cachondo

Member
May 6, 2019
90
125
Kuna link nimeiweka sasa hivi kwenye hili jukwaa jiungeni tupeane madini basi, pia kama kuna walimu wangependa kutuongezea majamboz karibuni
 

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,892
2,000
Hola amigo! Quel tal?
Soy BelindaJacob. Yo interesante para español practicando. Bien??
Muchas gracias. Feliz Sabado!!!

Wow...tu miras fastastico y calma cuando usted habla español....Me gustalo...como usted aprende español?
 
Top Bottom