Mjomba wangu Philosopher. Hii ni habari yake

Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,270
2,000
Hii ni habari yako...

Siku moja alisimulia kitabu cha How European Underdevelop Africa cha W. Rodney.

Ila siku anakufa watu walilewa kama vile Mjomba ulikua mlevi fala sana.

Mjomba alikua mtu wa MUNGU sana ukimpa kitabu cha Novel, History, au Chochote anakusimulia kwa uhalisia kama yeye alikua Mwandishi.

Baadaye alikuja kuwa Mwanasiasa wa kawaida tu sio Mashuhuri sana ila soon amekufa nani unamkumbuka leo?

He was my Uncle But no one's care about him now!

Never Saw this kind of analysis ila alikua bora sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,624
2,000
Ningekuwa natumia freebasics ningeweza kupotezea nikijua labda kuna attachment siioni kwakuwa sina data.

Lakini hapa nashangaa huu uzi una umwendelezo au akili yangu imechanganywa na hii mbege ninayokunywa hapa!?
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
9,758
2,000
Mkuu I understand maombolezo yako. Mungu awatie nguvu. Kila mtu anaona mtu aliyetengeneza pesa ndio amefanikiwa maishani.

Lakini watu hawaoni wale watu walioenzi VALUES na kuishi kiuhalisia. Watu hawa wakitutoka ndo tunaona kile walicho enzi.

Tulikuja uchi tunaondoka uchi, no mattaer emetengeneza au hujatengeneza kitu gani duniani.
 
Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,270
2,000
Thanks Bro! Big Respect!
Mkuu I understand maombolezo yako. Mungu awatie nguvu. Kila mtu anaona mtu aliyetengeneza pesa ndio amefanikiwa maishani.

Lakini watu hawaoni wale watu walioenzi VALUES na kuishi kiuhalisia. Watu hawa wakitutoka ndo tunaona kile walicho enzi.

Tulikuja uchi tunaondoka uchi, no mattaer emetengeneza au hujatengeneza kitu gani duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom