Ni ipi tofauti ya Swahiba na Rafiki?

Swahiba ni mshikaji,MTU wako mlieshibana sana kuzidi undugu,rafiki ni MTU uliyezoeana nae na mazoea yenye mipaka yawezakuwa jamaa,Dada,baba,kaka,mama,mdogo,make,mume,mtoto,jirani,classmate,n.k
 
Swahiba ni mshikaji,MTU wako mlieshibana sana kuzidi undugu,rafiki ni MTU uliyezoeana nae na mazoea yenye mipaka yawezakuwa jamaa,Dada,baba,kaka,mama,mdogo,make,mume,mtoto,jirani,classmate,n.k
Samahani hujashibisha jibu!!

Kwanza nipe maneno haya kwa laugha asili...!!
 
Swahiba - Ni mtu wako unayejuana naye. Anaweza kuwa jirani au mfanyabiashara mwenzio.
Rafiki- Ni mtu wako wa karibu mnayesaidiana kwenye shida na Raha.
 
Back
Top Bottom