Maana ya boma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya boma

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Jayfour_King, Jan 7, 2010.

 1. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja kati ya wale wanaoamini kwamba neno BOMA ni neno la kiswahili na ni nyumba zilizojengwa kwa kuzunguka kama uzio hivi. Nimekutana na mzee mmoja wa zamani akaniambia kwamba neno BOMA ni ufupisho wa maneno ya kiingereza "British Oversease Management Agency" wazee wa zamani mlio humu JF tufanyieni clarification ya hii, je ni kweli?
   
 2. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yote mawili ni kweli
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni kweli hujakosea.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huenda ni kweli hiyo tafsiri ya Kiingereza, maana mikoa yote hapa nchini ina BOMA, ambapo ilikuwa ni makao makuu ya serikali za wakoloni, mainly Mwigereza na Mjerumani.

  Lakini, ukiacha tafsiri zote za hapo juu, kwa mikoa mingine kama Arusha, Boma ni nyumbani kwa mtu yoyote, kwa maana kwamba alijenga na anaishi hapo na familia yake, na panaitwa hivyo kwa kutambua heshima yake zaidi katika jamii inayomzunguka.

  Au kwa sehemu nyingine wanaita MJI wa fulani.
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,740
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  ina wezejkana kwa kiingerez ikawa na kifupisho cha namna hiyo lakini kumbuka hata boma,limetumika kabla ya waingereza,hapa nazungumzia kipindi cha mjwrumani,hivyo nadhani litakuwa neneo la moja ya makabila lenye kumaanisha makao makuu ya serikali ya kikoloni.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280

  ofisi za wakuu wa wilaya mpya zilizojengwa baada ya uhuru zisiitwe tena boma.
  Tumechoshwa na ukoloni
   
Loading...