Loketo ni nani?

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
7,424
9,358
Salama wadau.

Nianze moja kwa moja kuleta kwenu swali ili kupata ufafanuzi. Kipindi hiki cha joto la uchaguzi kumetokeza majina na maneno mengine ambayo hatuyaelewi wengine. Hili sijui jina au neno.

LOKETO ni nani? Au nini?

Tuijenge nchi tutumie hivi vyama kama utani wenye lengo la furaha na mafanikio ya nchi.
 
Mi najua ni kundi la muziki kutoka kuleee Congo, lililokuwa linaongozwa na Hayati Aurus Mabele. Mwanamuziki niliyekuwa ninampenda sana!
 
Bwana matusi, bwana lugha ya kuudhi, mzee wa machafuko. Hahaha mzee wa miga. Halafu pembeni yuko Ahmada. Jamani hiyo team hata shetani haitaki. Hahaha
 
Loketo maana yake Hips.

Hiyo ni lingala bila shaka,"Loketo ya mbogo"

Diblo Dibala (Mashine gun) na Aurus Mabele.
 
Back
Top Bottom