Zawadi Lupelo
Wanajamvi salamu kwanza!
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna...
Vipi kuhusu Eric James Shigongo? Mbona anaandika sana hadithi, je yeye siyo gwiji kuzidi akina Hammie Rajab, Ben Mtobwa na Eddie Ganzel? Kuna watu wanadai kuwa anatafsiri riwaya za watu wengine je...
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ) - Sehemu ya Kwanza
MTUNZI:ENEA FAIDY
Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa while ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa...
Karudi baba fulani, toka safari ya nje
Kavimba yote maini, na kucheua punje
Wanae wakaleta ubani, ili kuepua njenje
Wakataka na madini, yawafae nje nje
Akatamka mtumbua, nimevimbiwa kwelikweli...
Habari wadau wa jamvini,
Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati.
Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange.
Juzi kati...
A - a
-a prep. of.
-a baridi adj. cold.
abiria n. passenger.
-abudu v. worship; adore.
-a bure adj. free.
-acha v. cease; allow; leave; let go; abandon.
-achana v. leave each other...
Bagalu bichane, aliyoneyo, nandje kwa kubagisha pye!
Salaam kwa wote. Samahani wakuu, inaniwia vigumu kuandika kwa kutumia lugha moja kuwasilisha hoja na maswali yangu. Ningelipenda sana lakini...
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE...
Hili neno linasumbua wengi (wengine wameishia kuita hivyo hivyo, wengine huita vijiti vya meno na wengine huita kichokonoo hasa kule Zbar) lakini naomba kushirikisha hapa kwamba maana yake ni...
Tangu nikue, hadi nimemaliza chuo, ni neno moja tu ninaloliona na kuliskia, iwe ni dukani, kwenye TV n.k.: Blue Band. Je, kwa kiswahili inaitwaje? maana nime-google sipati jibu, japo nahisi neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.