Oats kwa Kiswahili zinaitwaje

Mimi naomba niongezee kwako. Kama kuna mtu anaweza kuniambia wapi zinapatikana shayiri aniambie tafadhali sana.
 
Nilikua natamani nikutane na uzi wa hivi..

Ahsante beberu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom