Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

Msaidizi Mkuu

Senior Member
Aug 19, 2020
195
153
Habari wadau wa jamvini,

Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati.

Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange.

Juzi kati nilikuwa kwenye usafiri wa umma yani daladala mbele yangu walikua wamekaa wasichana wawili mmoja wao akisema jana baba fulani alikua anataka Kwa Mpalange akisema ni patamu.

Baada ya maongezi yao wakaishia kucheka nilitamani kuwauliza ila siku na mazoea nao.

Nikaona si haba nije tujuzane maana halisi ya msemo Kwa Mpalange maana nijuavyo Kwa Mpalange ni mtaa uliopo Buza Dar es Salaam sasa nini maana yake nyingine mpaka watu wengi wakiutumia msemo huu hasa kwa wanawake.

Funguka hapo chini mdau
 
Buza kwa Mpalange maeneo maarufu hayo
mbona imekuwa msemo wasichana wengi hutumia na kusema natoa kwa mpalange au ukitaka kwa mpalange unapata hapo nashindwaga kuelewa kabisa kwamba wanakupa umiliki wa mtaa wa mpalange au
 
Mm naishi mbagala kilungule na ndio njia Yangu kila siku asbh napoenda kutafuta riziki kituo changu cha daladala n kwa mpalange lakini sijawah sikia maana tofauti ya eneo tajwa
Basi tupo tofauti maana ni msemo unaovuma kwa kasi mpaka najiuliza maana yake nini
 
Ni Sehemu fulani Buza kuna Tope sana
Mwambie demu wako akupeleke hakika utataka kila siku uende huko
Tatizo linakuja kwann wanawake na baadhi ya wanaume huutumia huu msemo kwamba nataka kwa Mpalange au nagawa kwa Mpalange hasa hawa dada zetu wakisena hivo so nashindwa kuelewa maana yao halisi ni ipi.
 
Kwa mpalange ni matakoni.
Any question?
Huku Tandika kuelekea buza kuna sehemu maarufu sana zaidi ya kwa mparange. Panaitwa mnduku buku. Hapo noma, kwa mparange cha mtoto
Hebu tufafanulie vizuri mkuu kidogo umeandika kwa ufupi labda tukapata maana ya wanachokimaanisha watumiaji wa neno hilo
 
Back
Top Bottom