Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habarini za asubuhi wana lugha JF. Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Mimi 1. Site mirror - Side Mirror 2. Singboard - Ceilling board 3..........[emoji116][emoji116][emoji116]
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Nantwambe-umeamkaje /kwa wanaume Nantwama-umeamkaje/wanawake Nesindiswa mbe-umeshindaje /baba Nesindiswa ma-umeshindaje/ kwa mwanamke mwana-mtoto Msoro/Msero- Son Sambura-Daughter Mfu- mabinti...
6 Reactions
63 Replies
79K Views
Natafuta chuo kinachofundisha lugha ya Portuguese au Kireno kwa hapa Dar. Asanteni sana
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Natafuta video fupi ya Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Dar ambayo alitimia neno hilo ambalo mpaka Sasa sijajua alimaanisha nini ili niitumie kuwauliza wajuzi wa lugha Mheshimiwa alimaanisha nini?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
This is intended to be a forum for discussion about Greece. Respecting although all other nations and beliefs. However, transmitting to people the values of Hellas and its beliefs.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kinachoendelea nchini, kisiasa, ni wazi kwamba pesa imezaa kiburi na madaraka yamejenga maadui. YAJAYO ni KITENDAWILI lakini ...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba tu ufafanuzi kwamba 1). Rais akimuapisha Makamu wa Rais Au 2.). Rais akishuhudia kuapishwa kwa Makamu wa Rais!?
1 Reactions
4 Replies
828 Views
Maana na matumizi ya maneno haya katika sound setting Mono Stereo Nakutana nayo sana hata kwenye phone sound settings
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni...
5 Reactions
60 Replies
15K Views
Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Motive behind this is to see whether JFers can actually write and speak (post an audio if you can) in English. There has been a lot of shouts recently considering the minister's English language...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Natafuta vitabu vya KUAILE HANYU vinavyotumika sekondari kufundishia lugha ya Kichina.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wengine tuliobaki ,tunjiani twasogea. Mkapa ameondoka, katu hatorudi tena. mengi ametufanyia kwa hisabu sikumbuki Mkapa ameondoka katu hatorudi tena Kama wanafunzi bora,tuyasome yake mema. Mkapa...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Karudi baba fulani, toka safari ya nje Kavimba yote maini, na kucheua punje Wanae wakaleta ubani, ili kuepua njenje Wakataka na madini, yawafae nje nje Akatamka mtumbua, nimevimbiwa kwelikweli...
1 Reactions
172 Replies
53K Views
JUMAPILI 20.5.2012 Ilikuwa ni muda wa saa nne mchana, nikiwa nimeketi nje ya nyumba yangu nikipata Vitamin D asili kupitia Jua la asubuhi. Ghafla, akaja Rafiki yangu Tuntu niliesoma nae pale chuo...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Neno pera kwa kingereza linaitwaje
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Wadau lipi neno sahihi kati ya.. 1. "Mbaka" au "Mpaka" Mfano mtu aseme..... "Mbaka sasa hakuna mshindi katika Pambano hili" au "Mpaka sasa hakuna mshindi katika pambano hili" Yupi yuko...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Neno gani la Kiswahili huwa linakuchanganya kulitamka?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom