Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Anaitwa RSM KIMANI ni mkufunzi wa shule ya mafunzo ya kijeshi huko Kenya (RTS) ambaye kwa sasa taarifa zinasema Kamanda huyo ni Marehemu. Nchini Kenya hili neno "KIMEUMANA" linatumika sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za usiku wanajamvi? Ni taasisi au chuo gani kwa hapa Arusha kinatoa mafunzo ya lugha ya kiingereza kuanzia cha kuongea na kuandika kwa vitendo zaidi, Na iwe inatoa mafunzo hayo kwa muda...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi naombenii maana ya maneno yafuatayo kimtaani kwenu 1.wafooo 2.usiniletee ndombolo Haya manEno yana maana Gan___?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wadau hivi karibuni kumekuwa na matumizi makubwa sana ya neno chawa,najua chawa halisi (waliowafuga) wengi mnawafahamu ,je ni sawa jamii kuitana chawa ili hali chawa ni mdudu. Tafsiri isiyo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nahitaji kujua maana ya kabambalu wadau
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati wa mfumo dume haikutegemewa kama mwanamke atakuwa Rais wa nchi.Tanzania tumebahatika kuwa na Rais mwanamke.Je anaitwa Mrs President? Wataalamu wa itifaki tujuze
0 Reactions
8 Replies
971 Views
Wapenzi wa lugha ya Kifaransa. Naamini JamiiForums ni jukwaa kubwa la wabobezi na wa Somi wa fani nyingi. Kwa hiyo Kila mdau ni mwalimu ajae na Mwanafunzi wa leo. Michango yetu ijikite ndani ya...
2 Reactions
93 Replies
15K Views
Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale. Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo. Jana nimesikia mahakamani Michongo. Nini maana halisi ya...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani ee hv hili neno Ni kilugha gn na linamaanisha nini? "Otimbi na timbiliyoo"
1 Reactions
17 Replies
5K Views
kwa kikwetu....kipare habari tunasema. tha mithii[za siku] wa shithiaje[umelala je].ningependa kujua ki masai habari ya asubui....habari ya mchana na jioni mnasemaje.
0 Reactions
3 Replies
27K Views
Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kuziba mapungufu ya ''IKAMA'' linamaana gani hili neno mwenye uelewa kuhusu hilo neno alilotamka afande CDF? Ili tujue Ikama ni nini?
1 Reactions
8 Replies
10K Views
habarini! Kwa mnafahamu kimakonde naomba kuambiwa maana ya maneno hayo mawili. Mara ya kwanza nimeyasikia kutoka kwa mtaalamu Tongolanga kupitia wimbo wake wa 'baba na mama' na hivi sasa maneno...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Hamjambo? Naomba tafsiri ya 'Social Enterprise' kwa Kiswahili fasaha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari Dira ya dunia BBC jioni ya tarehe 15/11/2021 mwadishi wa habari kutoka Kenya amesema watu kadha WAMEHEPA kutoka gereza fulani,Bakita mtusaidie
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani Na mtaniona mchana, sio usiku gizani Mtaona ninayonena, kutoka kwangu kinywani Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani Kwa akili nayasema, sijawa...
1 Reactions
1 Replies
922 Views
Haya ni baadhi ya yaliyosikika mwaka huu Kimeumana Kupigwa na kitu kizito Kuupiga mwingi Utajua hujui Mbususu Mwendazake Pira biriani .......
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa, Wiki hi kuna neno limekuwa likitumika sana na chombo Kimoja Cha Habari (Swahili Times), "Mwendazake" sielwagi wanamaanisha Nini Mwanajukwaa yoyote naomba anisaidie.
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Back
Top Bottom