Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
HAKUNA TENA SIRI. Kuna mambo siku hizi, hupayukwa hadharani Tena mambo ya kishenzi, asoweza firauni Kila kitu waziwazi, wanotenda faraghani Wapendanao vizuri, hawapayuki njiani.. Zama...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje? "Kumtua mama ndoo kichwani" Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3] Ahsante
1 Reactions
87 Replies
6K Views
Kisonoko: Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo. Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Shairi: Itakuwaje nikifa? Kuna mda ninawaza, itakuwa je nikifa, Maswali najiuliza, nikifikiria kufa, Naogopa kujikweza, kuzikwepa mbaya sifa. Nisife kama fulani, kufa bila ya alama. Nataka nife...
3 Reactions
1 Replies
952 Views
Siwezi kula makombo, ijapo niyakunona Umesha jipaka shombo, siwezi kuramba tena Yaliopita kitambo, yaliniumiza sana Kurudi kwako siwezi, kurudi kudanganyana.. Kula nilichotapika, kwangu hilo ni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEZICHOKA DHARAU Ni kheri niende zangu, sababu umenichoka Wateseka moyo wangu, nimezichoka dhihaka Wazarau pendo langu, ya nini kutaabika Japo bado nakupenda, nimezichoka dharau. Nimechoka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naulizia kuhusu sehemu wanayofundisha lugha ya kichina kwa apa Dar es salaam Tanzania Nawasilisha.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana. Kupitia uzi...
8 Reactions
61 Replies
9K Views
Huenda tulipendana, na sijui ni kwanini Miaka tuliachana, lakini bado moyoni Nahisi tunavutana, kwa macho pia ndotoni. Au ndio mazea, hutesa na kupumbaza Kutaka kuyarejea, mwenzenu bado nawaza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini asili ya neno Soni au Chiba? kuna wakati mtu mlemavu wa mguu anaitwa majina hayo. Je ni kwa vile tulikuwa na waziri mzungu enzi za Nyerere aliyekuwa mlemavu wa miguu akiitwa Derek Bryson...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania, eti; Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na...
5 Reactions
98 Replies
16K Views
Naombeni kujuzwa hivi Mtendaji wa Kijiji anaitwa nani kwa kingereza
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MAMA SAMIA. Asalamu alykumu, mama uhali gani Pokea yangu salamu, isije anguka chini Siandiki kulaumu, kukutia hatiani Yanilazimu kusema, nimetumwa na wanyonge. Wamenituma niseme, machache...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam wa kiswahili, anayejua maana ya maneno haya atupe maana SHANGAZI ni nani? (¡) Mke wa mjomba (¡) Dada au mdogo wake baba
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili neno lina maana gani? Utasikia mtu anakwambia "yule jamaa ni kavu tu."
0 Reactions
11 Replies
3K Views
PANDE ZA TABU NA RAHA 1 Dunia tunayoishi,nayo ina mengi mambo Shida huwa haziishi, mawio msalagambo Tuishini kwa ucheshi,hilo ndio kubwa jambo Na imejazwa dunia, pande za tabu na raha 2 Lililo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Binti kurudi shule Bado nalitafakari, hatima ya jambo hili Nawaza na kufikiri, matamko mbalimbali Jambo hili ni hatari, siasa tuweke mbali Binti kujifungua, arudi shuleni tena. Mimi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! Naombeni kujuzwa ni sehemu gani kwa hapa Dar es Salaam wanatoa huduma ya kufundisha kispanyola. Naombeni mchanganuo wao mfano Ada zake, contacts zao nk.. Asanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom