Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO.
Sasa...
Naomba kama kuna mtu anamfahamu mtu au mwalimu anayeweza nifundisha lugha ya kidutch please naomba mnisaidie mawasiliano au hata sehemu alipo.
Asanteni.
Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na...
Neno Stationery huwa mara nyingi huandikwa Stationary. Sehemu nyingi ilipo Stationery inaandikwa stationary.
Maana;
Stationery-duka la vifaa vya shule na elimu.
Stationary-kusimama au kubaki pale...
Nakumbuka miaka ya 80s - 90s wakati nakua nlikuta maneno ya zamani baadhi ni kama kuita Polisi, Mamwela au Manjagu na Mapongo sasa hv tunawaita Tigo au....Wanawake zamani tuliwaita Ngaya.
Kufanya...
Hili tunda linaitwaje kwa Kiswahili? Je? Linapatikana Tanzania.
Kwa waliowahi kutumia hili tunda, lina ladha na harufu ya namna gani. Lina virutubisho gani au madhara gani?
Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176
Neno person ni tofauti na Parson
Hili neno " Magabachori" lilitumiwa sana mchungaji Mtikila RIP wakati anagombea ubunge Ludewa kwa tiketi ya Chadema baada ya kifo cha Kolimba.
Gabachori ni nani?
Maulid mubarak!
Baada kuishi sehemu tofauti kuna lugha kama code ambazo kama ufahamu basi kazi bure.
Lugha hizi mfano Kariakoo :-
*kimeo - neno hili linatumika pale kama kitu kibovu au jambo baya au...
Wakuu mambo zenu , hili neno la kunyanduana naona linatumika sana ktk social network ,sasa binafsi sijui lina maana gani ,nakuja kwenu naomba muongozo wakuu..[emoji3577]
Hello Linguists,
Abeg to ask for anyone down here to teach me the basics of nigerian english na'. I wish to learn how they dance with words so fantastically..
Please, tell me what can I do to be...
Mimi napata shida na neno University kama ndiyo tafsiri sahihi ya neno Chuo Kikuu,
wana kiswahihili naomba mchango wenu ili nijue tafsiri iliyotumika kupata neno chuo kikuu.
HISTORIA NA ASILI YA RUNINGA
Televisheni (kifupi: TV) au runinga ni chombo (kifaa) chenye kiwambo (kioo) ambacho kinapokea mawasiliano kutoka kituo cha televisheni na kuyabadilisha kuwa picha na...
Wadau, kwanza pongezi kubwa kwa Profesa Gurnah , ushindi wa tuzo ya Nobel kupitia fasihi zake ni wa kupigiwa mfano.
Kikubwa cha kujivunia kupitia maandishi yake ni vionjo vya historia ya ukoloni...
Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.