Nini kauli rasmi ya BAKITA itoe ufafanuzi kuhusu matumizi ya neno chawa...

superwarkills

Senior Member
Aug 18, 2014
136
83
Ndugu wadau hivi karibuni kumekuwa na matumizi makubwa sana ya neno chawa,najua chawa halisi (waliowafuga) wengi mnawafahamu ,je ni sawa jamii kuitana chawa ili hali chawa ni mdudu.
Tafsiri isiyo rasmi mtaani wanasema chawa ni kama mpambe na kiaina kama kuwadi hivi. Je ni kweli..basi
BAKITA watupe tofauti ya neno MPAMBE na CHAWA ni lipi sahihi kwa matumizi ya sasa na kwa nani ?
 
Kupe limekuwa likitimika Kwa muda mrefu, sidhani kama kuna aliyejisumbua kutoa ufafanuzi. Maana inaeleweka, hata ikiwa anayehusishwa ni mtu.
 
Ndugu wadau hivi karibuni kumekuwa na matumizi makubwa sana ya neno chawa,najua chawa halisi (waliowafuga) wengi mnawafahamu ,je ni sawa jamii kuitana chawa ili hali chawa ni mdudu.
Tafsiri isiyo rasmi mtaani wanasema chawa ni kama mpambe na kiaina kama kuwadi hivi. Je ni kweli..basi
BAKITA watupe tofauti ya neno MPAMBE na CHAWA ni lipi sahihi kwa matumizi ya sasa na kwa nani ?
Nafikiri hasa neno chawa kutumika kuwakilisha "wapambe" inatokana na tafsiri ya neno la kiingereza la "parasite" yaani kiumbe ambaye hawezi kuishi bila kutegemea kiumbe mwingine!
 
Kuna maneno mengi tu ya kiswahili yamepotoshwa maana yake halisi...mfano mzuri ni neno "Ngono" linavyotumika sasa sio maana ya matumizi yake halisi kwenye kiswahili.
 
Maana yake ni ipi mkuu?
Nilimsikia mtaalam mmoja wa Bakita akisema maana halisi ya neno "Ngono" ni kuwa hufanywa na wanawake zaidi ya mmoja waliiolewa na mume mmoja almaarufu "mitala" sasa zile zamu wanazopeana kulala na mume wao ndio inaitwa ngono! kwa hiyo yeye binafsi anasema akisikia watu wanasema ameshiriki ngono zembe huwa anafikiri mwanamume yule alilala na mkewe mwenye zamu bila ya chandarua hahahaah!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom