Nini tofauti yake?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tofauti yake??

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by KILITIME, Mar 17, 2011.

 1. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Natatizwa saana na tofauti ya maneno haya BURUDANI NA MICHEZO
  na jee michezo si burudani??
   
 2. n

  ngoko JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo
   
 3. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo[/QUOTE]
  Ngoko sijakuelewa kabisa unamaanisha hakuna tofauti??
  :lol:
   
Loading...