Nielimishe kuhusu hili..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nielimishe kuhusu hili.....

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by SKOMBA, Jan 11, 2012.

 1. S

  SKOMBA Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nini matumizi au utofauti wa "ya" na "wa" ktk sentensi? wana JF naomba nielimisheni..
   
 2. j

  jumalesso Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika sentensi ya na wa hutumika kuonesha umiliki mfano: Gari 'ya' Mzee, Nyumba 'ya'ngu. Mtoto 'wa' kaka. Mara nyingi "wa" hutumika zaidi kwa kuonesha umiliki wa vitu vyenye uhai na "ya" kwa visvyo na uhai. Japo wakati mwengine sio lazima iwe hivyo mfano Bustani "ya" Pili, Mti "wa" Pili. "Na" hutumika kama kiunganishi cha vitu viwili au zaidi mfano Sisi 'na' nyinyi, Mbwa 'na' fisi n.k. Wengine watachangia zaidi
   
Loading...