Natafuta kazi ya kufundisha "kiitaliano au kihispania " part time | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha "kiitaliano au kihispania " part time

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Davies lyimo, Apr 7, 2011.

 1. D

  Davies lyimo Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano
  au kihispania.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sasa wanafunzi tunakupataje?
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Una darasa na kama unalo liko wapi. Kama huna tafuta darasa ili iwe rahisi kupata wanafunzi.
   
 4. E

  Eddy Bablon Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nahitaji kujifunza hizo language.
   
Loading...