Gari...

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
1. Gari imetumbukia baharini.
2. Gari limetumbukia baharini.
3. Gari limedumbukia/imedumbukia baharini.
4. Gari imeingia/limeingia baharini.

Eti ????
 
Unaweza kutumbukia baharini lakini usizamae

Nini maana ya kutumbukia? je gari inaweza kutumbukia baharini halafu likawa bado linaelea ? Nini tofauti ya tumbukia na zama, Mnaojua kiswahili msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom